the_forum
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 774
- 1,005
Wadau naweka bandiko hili kuomba mawazo ya kujitosheleza kuhusu course hii hasa inayotolewa ktk taasisi ya usimamizi wa fedha (IFM) iliyopo jijini Dar es salaam! Ili nami niweze kutoa ushauri sahihi huku nilipo ...msaada unahitajika
*nini hasa dhumuni la course, taaluma yake inatumikaje?
*nini cha kutegemea kukutana nacho ambacho wengi hua hawakiwazii na kukikuta kama surprise?
*changamoto?
*manufaa?
Natanguliza SHUKURANI!
*nini hasa dhumuni la course, taaluma yake inatumikaje?
*nini cha kutegemea kukutana nacho ambacho wengi hua hawakiwazii na kukikuta kama surprise?
*changamoto?
*manufaa?
Natanguliza SHUKURANI!