Safi fursa hiyo kwa wale waliokosa nafasi TCUTangazo lao lajieleza lenyewe, kwa wale wenzangu wa PCB dodo ndio lataka kuanguka. Kumbuka wanataka minimum Physics D, Chemistry C na Biology C.
Kuhamia toka TEKU?veep first year kuhamia inawezekana???
Mbona deadline ya tcu imeshapita??? Sidhani kama hizi taarifa ni za kweli
Connect dots-anzia na kurudishwa kwa wale 680+ waliokuwa wanatemwa, jiongeze na tangazo la UDSM kuongeza muda wa round ya mwisho. Ukisha hapo kumbuka UDSM ni chuo chetu pendwa (wanafunzi na serikali). Jiulize baada ya mkulu kusema akifungua Mloganzila hataki kusikia habari ya MD ya UDSM imekuwaje wako huko Mbeya na jana tu nilikutana na mwanafunzi anaingia MD mwaka wa pili. Tangazo nimetoa na liko website ya UDSM. Ukiyaelewa yote hayo hutashangaa hata kama uwazi haupo kwenye issue yote nzima.Aisee hadi kuhamia ??? Hili tangazo sidhani kama ni la kweli
Yote haya afya ya taaluma hii itakuwaje ?Connect dots-anzia na kurudishwa kwa wale 680+ waliokuwa wanatemwa, jiongeze na tangazo la UDSM kuongeza muda wa round ya mwisho. Ukisha hapo kumbuka UDSM ni chuo chetu pendwa (wanafunzi na serikali). Jiulize baada ya mkulu kusema akifungua Mloganzila hataki kusikia habari ya MD ya UDSM imekuwaje wako huko Mbeya na jana tu nilikutana na mwanafunzi anaingia MD mwaka wa pili. Tangazo nimetoa na liko website ya UDSM. Ukiyaelewa yote hayo hutashangaa hata kama uwazi haupo kwenye issue yote nzima.
Hiyo itakuwa ni hatari kwa hadhi ya chuo chenyewe.Mkuu ndiyo hivyo watu watavurugwa ipasavyo-wakubwa wameamua. Kuna mdau amesema UDSM inapewa "ASSIST" ifunge goli. Sidhani kama ni chuo kingine haya yangetokea.
Mkuu nina hakika alikuwa na nia "njema" kusema vijana wapate ile kitu wanapenda (chuo wakipendacho), lakini kulikua na nia nyingine ya kutaka kuvikomoa private universities. Na hii nia iliyojificha inaonekana ukiangalia mchakato wa mwaka huu ulivyo pinda, kuwaambia kila mwenye multiple selection akajisajili chuo akipendacho bila kuzingatia capacity, kulazimisha chuo cha UDSM kiruhusiwe na TCU kuwarudisha wale 680+ bila kuzingatia capacity. Unakumbuka hata Kitila kwenye kuwajibu maaskofu wa KKT alishauri mikopo iende kwenye vyuo vya serikali tu.Hiyo itakuwa ni hatari kwa hadhi ya chuo chenyewe.
Aliyevuruga ule utaratibu wa TCU hakuwa na nia njema hata kidogo
Hakukuwa na nia njema. Ule ulikuwa mfumo bora sana.Mkuu nina hakika alikuwa na nia "njema" kusema vijana wapate ile kitu wanapenda (chuo wakipendacho), lakini kulikua na nia nyingine ya kutaka kuvikomoa private universities. Na hii nia iliyojificha inaonekana ukiangalia mchakato wa mwaka huu ulivyo pinda, kuwaambia kila mwenye multiple selection akajisajili chuo akipendacho bila kuzingatia capacity, kulazimisha chuo cha UDSM kiruhusiwe na TCU kuwarudisha wale 680+ bila kuzingatia capacity. Unakumbuka hata Kitila kwenye kuwajibu maaskofu wa KKT alishauri mikopo iende kwenye vyuo vya serikali tu.
Ingekuwa kitu muhimu kuangalia uwezo wa vyuo vyetu kubeba wanafunzi inao wachukua. Kwa kiasi gani infrastructure na walimu wanatosha, achilia mbali fedha za kuendesha vyuo.