Nina one ya 8 PCB; Naweza kupata MD fourth round UDOM?

Piga simu UDOM wana namba kibao za kusaidia admission.

Chukua hatua.
 
Upo mkoa gani, wenzio wanawatimbia ofisini live.. vyuo vimekua magumashi sana ila una ufaulu mzuri
 
kwa jinsi mambo yalivyo sasa,1.8,1.9 ni Kama 3.15 ya miaka ya 2012 kuja chini
phenotypically ni ufaulu mzur ila kweny Vyuo ndio mambo yanagoma
 
Acha kujifanya Kama hujuh kinachoendelea basi!!! Kwan hujuh 1.8 ni kama zero kwa PCB?? Wenzako hawajang'ang'ania wewe nenda kawe doctor wa mifugo huko sio lazima ushike mioyo na mishipa ya mwanadamu hata ng'ombe wanaitaji huduma yako!!
<fg=f0f00f0f> "KIDDING"

Mwana mm mwanangu Ana 1.9 kakubali tu kwenda sua man sikuh MAGUFULI NA NDALICHAKO WAMEAMUA KUTUKAZIA MM MWENYEW HAPA NIPO 6 PCB NIKIFIKIRIA UFAULU NYIE TU MPAKA 1.7 HAWAJACHUKULIWA Sasa sisi VIMANGALA TULIO BAKI SHULENI NAHISI WAYACHUKUA YA 3 NA YA 4 mm nakushauri ujaribu scholarship tu mwanangu ni TIZI kipind hiki Cha NDALICHAKO wao wanataka waliim walio faulu Sana kuliko zamani mpka iwe na 3 ko wamekaza ILI VIMANGALA TWENDE UALIMU

BUT NOT ME

#BORN_FOR_MEDICAL
 
Omba vyuo kama st. Joseph na kariuki utapata ila kwa udom na muhas ushindani ni mkubwa
 
Hebu omba nursing then ukipata uombe uhamisho kwenda MD. Jaribu kufanya hivyo, ukishakuwa registered hata kama mwaka huu uhamisho utakwama then unaweza kuahirisha masomo then mwakani uimbe tena uhamisho kwenda MD.

Kwasababu kozi zote hizo zipo college moja itakuwa vyepesi kuhama.

Kwa ufaulu wako huwezi kupata MD direct
 
Tatizo la wanafuzi waliosoma pcb kilammoja wao anataka kusoma MD wakati kuna kozi nyingi za kusoma zaid ya MD!!.. hii ndo inafanya watu kulalamika TCU na vyuo husika!! Ungeapply kozi km medical lab,nursing,n.k ungeshapata chuo na km ni kubadilisha ungebadilisha vyuon!! Em angalia sasa mpaka sasa unasubiria fourth round!Pole lakn mkuu inaweza ulkuwa hujui yote haya!!!
 
Acha kujifanya Kama hujuh kinachoendelea basi!!! Kwan hujuh 1.8 ni kama zero kwa PCB?? Wenzako hawajang'ang'ania wewe nenda kawe doctor wa mifugo huko sio lazima ushike mioyo na mishipa ya mwanadamu hata ng'ombe wanaitaji huduma yako!!
"KIDDING"

Mwana mm mwanangu Ana 1.9 kakubali tu kwenda sua man sikuh MAGUFULI NA NDALICHAKO WAMEAMUA KUTUKAZIA MM MWENYEW HAPA NIPO 6 PCB NIKIFIKIRIA UFAULU NYIE TU MPAKA 1.7 HAWAJACHUKULIWA Sasa sisi VIMANGALA TULIO BAKI SHULENI NAHISI WAYACHUKUA YA 3 NA YA 4 mm nakushauri ujaribu scholarship tu mwanangu ni TIZI kipind hiki Cha NDALICHAKO wao wanataka waliim walio faulu Sana kuliko zamani mpka iwe na 3 ko wamekaza ILI VIMANGALA TWENDE UALIMU

BUT NOT ME

#BORN_FOR_MEDICAL
We dogo unawezaje kusema hio in

zero ingawa we hata pepa hujafanya
 
Ww dogo unawezaje kusema hio ni zero ingawa u hujafanya hata pepa
 
Wewe dogo unawezaje kusema hip no kama zero ingawa we hujafanya hata pepa
 
Omba, wakizingua bora ukae mtaani usubiri uje utimize ndoto zako hata mwakani,kuliko kusoma course mbadala usiyoipenda.
 
Back
Top Bottom