Ada + BoomJamani naomba mnisaidie kwa ambaye anajua jinsi gani asilimia 25 ya mkopo uliopewa inakuwaje una chukua ada tu au unachanganya na boom?
kwani wanaweka % au unaandikiwa ada utayolipiwa alafu wewe ukitaka ndo utacalculate ni % ngapi??Nipo sua nipewa mkopo asilimia 50 hv ntalipiwa Ada kiasi gn?
hivi udom lini jamaniNipo sua nipewa mkopo asilimia 50 hv ntalipiwa Ada kiasi gn?
Utalipa nusu ya ada ya kozi unayosoma, kama kozi yako ada ni 1000000 utalipa 500000.Nipo sua nipewa mkopo asilimia 50 hv ntalipiwa Ada kiasi gn?
Hata boom hapati kwani etiBora wewe umepewa ivyo dogo langu kalipiwa ada tu tena elf 70
Asiwaze sanaa boom uhakikaHata boom hapati kwani eti
631,500/= tshNipo sua nipewa mkopo asilimia 50 hv ntalipiwa Ada kiasi gn?
Ni ada peke yakeJamani naomba mnisaidie kwa ambaye anajua jinsi gani asilimia 25 ya mkopo uliopewa inakuwaje una chukua ada tu au unachanganya na boom?
Ingia kwenye website ya chuo husika, download "prospectus" ina maelezo ya ada kwa kila kozi katika chuo husika.hizo ada unazijuwaje mkuu? maana kwenye profile hazionekani.