Nimechaguliwa chuo kikuu cha Stella maris mtwara university coz ya bachelor of philosophy with political science
Nawaombeni msaada juu ya hii coz ikovip na ajira zake zikoje msaada wakubwa
Heslb wanapanga mikopo lakini mchanganuo unabaki siri mpaka utakapofika chuoni, kwa hiyo unakuwa huna maandaliziyoyote ikitokea umepata mkopo kiduchu. Kuna wanafunzi wamepata mshtukomkubwa baada...
Wanabodi,
Naombeni msaada nahitaji anaejua hili.
Kuna wakati nakumbuka wizara ya elimu ilitoa mwongozo kwa shule zote hasa shule binafsi kwa vile mtindo huu ulikuwa shule binafsi zaidi. Ya kuwa...
Habarini za asubuhi wana JMF wenzangu natumai tumeamka salama
Niende moja kwa moja kwenye point nahitaji app nzuri ya kujifunza kiingereza na kifaransa kwa wanaozijua app nzuri iwe za online au...
Wale wadau wa DIT,CBE Dar campus,IFM,Tumaini Dar campus na TEKU Dar campus, Hostel nzuri na ya kisasa ipo maeneo ya Lumumba, special kwa wanaume pekee, maji na umeme wa uhakika, ulinzi wa...
Habari wana jamii forums, naomba mwenye shule nzuri za primary za english medium maeneo ya kigamboni naomba mnijulishe kwani ivi karibuni ntahamia huko kwa sasa naishi mtongani naombeni na...
Wanajf natumaini hamjambo! Naomba kujuzwa kuna MTU aliifanyia lamination doc fulani kimakosa. Je kuna njia yoyote ya kuweza kuondoa lamination bila kuharibu original document?
Naombeni ushauri wenu nimepiga diploma ya education geog na eglish ila nimechaguliwabachelor ya business studies with education vipi economics na commerce haitanisumbua?
Nimepngiwa hostel za mabibo ila nataka chumba magufuli. Anawetaka kubadilishana au kuniuzia magufili anitafute....kwa whatsapp 0744886096 au anipigi kwa +255 625 569 701
Nimepngiwa hostel za mabibo ila nataka chumba magufuli. Anawetaka kubadilishana au kuniuzia magufili anitafute....kwa whatsapp 0744886096 au anipigi kwa +255 625 569 701
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.