UDSM loan allocation

Eti kuna mtu kaniambia kuwa kwa waliochaguliwa UDSM wote hawajapata mkopo hadi third batch,wakati mimi jina langu nimeliona kwenye first batch
 
jiulize ni kwanini kwenye acc. yako bado pako kimya ila majina yanatumwa chuoni???
hii ni danganyatoto
omba mungu jina lako ulikute chuoni wanafunzi wengi ni kilio.
Eti kuna mtu kaniambia kuwa kwa waliochaguliwa UDSM wote hawajapata mkopo hadi third batch,wakati mimi jina langu nimeliona kwenye first batch
 
Heb Jaman mwenye Habar kamil kuhusu udsm atujuze maana Naona kiza tu mbna wanakfanya Kuwa chuo cha siasa kwenye maisha ya watu..
Imagine ni chuo cha kwanza kutoa application, first selection, date of opening, adimision letter.. Pia kmekuwa cha mwsho kwenye vyote.. Had mkopo wanafnz hawajui Kuwa wamepata au
 
jiulize ni kwanini kwenye acc. yako bado pako kimya ila majina yanatumwa chuoni???
hii ni danganyatoto
omba mungu jina lako ulikute chuoni wanafunzi wengi ni kilio.

Ulicho ongea mkuu ni kwel kabsa uji sikia danganya toto ndo ilee umma una juaa idadi ya watu walio pata mikopo ndo ile kwel lakini uki enda chuo jina huli kuti na una ambiwa hauna vigezo
 
Hiv inawezekana au
Yaan umpe mtu mkopo then useme Huna vigezo
Maana yake Kuna weng hawatendewi haki
 
Udsm yametoka ila cha ajab Majina meng hayapo
may be kuna vigezo vya urefu na ufup vimeongezwa au residence πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwan wanaangalia had ulpotoka
Duuh sasa Mkuu na rufaa Bado then chuo kshafnguliwa Duuh. Yaan jina limetoka mzaz/mlez ashajua Kuwa Tayar ..ushapata Leo unamwambia jina halipo kwel?
 
mi bado sijapata...na sijui ni lini watatoa awamu zilizobaki......chuo ntakwenda wakimaliza mambo yao
 
Back
Top Bottom