FURSA KWA WALIOKOSA MKOPO

pilot Joseph

Member
Jan 11, 2018
82
95
Nahitaji first year kama 10-20 waliokosa mkopo. Vigezo uwe umepata division 1 or 2 at advanced level. Vyeti vyako viwe certified , uwe na admission letter.
N.B sitaki rushwa wala hongo yoyote. Kuna foundation mbili zinatoa ufadhili wa masomo. Only serious minded people. Check me at these contacts 0625755889. , ,I will guide you efficiently
 

kunta93

JF-Expert Member
Nov 9, 2015
227
500
Hii kama ni kweli ni nzuri sana,angalau madogo wamepata fursa ya kutimiza ndoto zao.hongera sana mkuu
 

Rashidi7

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
600
250
Hivi vipi kuhusu MO Foundation kwa wanafunzi wa UDSM(japo hiki chuo watu hawataki tukitaje) na SUA??
 
Mar 18, 2018
31
95
Foundation ya kwanza course yoyote ambayo duration ni four years na uwe admitted at either SUA or UDSM, .
Foundation ya pili lazima uwe admitted katika chuo chochote katika course zozote za Engineering au course yoyote ya Agriculture
Me nimekosA wamenichagua udsm architecture VP may I get it?
 

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
4,368
2,000
Foundation ya kwanza course yoyote ambayo duration ni four years na uwe admitted at either SUA or UDSM, .
Foundation ya pili lazima uwe admitted katika chuo chochote katika course zozote za Engineering au course yoyote ya Agriculture
Vipi kwa tunaotoka Diploma.. Vyuo vya kilimo
 

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,777
2,000
Si amesema hataki Rushwa wala Hongo?
Utapeli ki aje tena?
Siku zote tapeli ana maneno mazuri ndiyo maana anaitwa tapeli, kama ana nia nzuri angeweka maelezo yote hapa tuyajadili, sasa hayo ya kwenda in box yana ni gani kama sio utapeli
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom