Hii kozi ajira zake ni zipi wakubwa..

Hii kozi ajira zake ni zipi wakubwa..

Nickdaizer

New Member
Joined
Nov 2, 2018
Posts
4
Reaction score
1
Nimechaguliwa chuo kikuu cha Stella maris mtwara university coz ya bachelor of philosophy with political science
Nawaombeni msaada juu ya hii coz ikovip na ajira zake zikoje msaada wakubwa
 
Nimechaguliwa chuo kikuu cha Stella maris mtwara university coz ya bachelor of philosophy with political science
Nawaombeni msaada juu ya hii coz ikovip na ajira zake zikoje msaada wakubwa
Mkuu hi course haina future yoyote unaenda kusoma kujifurahisha tu
 
bora hata usijisumbue kupoteza ads yako?na uliiomba ya nini sasa?
 
Nimechaguliwa chuo kikuu cha Stella maris mtwara university coz ya bachelor of philosophy with political science
Nawaombeni msaada juu ya hii coz ikovip na ajira zake zikoje msaada wakubwa
Kwanza unaelewa maana ya philosophy? Nakubaliana na wadaj kwamba ajira zake ni mtiiti kwa hapa bongo ila hii kozi ikiiangalia kwa angle ingine ina uzuri wake... Kama una nia ya kujiajiri kwenye biashara yeyote basi itakusaidia maana utasoma sana kozi za saikolojia na filisofia.
 
Kuna course zingne bongo zinabid zfutwe
 
Karibu mtwara mengine watakushauri
 
Utakuwa mwanasiasa mkuu ila usikubali kununuliwa
 
Bahati mbaya vyama vya siasa havijawahi tangaza nafasi za kazi hata siku 1. Sijui utaanzia wapi.
Huko elimu sio saaana kivile. Ni kujikomba kwa sana, vibuyu vya hapa na pale, kujuana nk.

Ukiona tangazo la kazi linalosema any good degree ndo uombe.
Vinginevyo.....mmhh
 
Back
Top Bottom