Bodi ya mikopo awamu ya tatu lini kuna watu awajalipoti chuo mpaka sasa

Sam mirror

JF-Expert Member
Sep 29, 2018
1,462
2,219
Jaman bodi majin lin kuna w2 awajalipoti chuo mpaka sasa na nyie mpo kimya mwenye taarifa yoyote atujuze
 
frech country boy ujui kutofautisha kati ya error and mistake cjui mmexoma wap afu amuangalii occupation kuwa hii lugha inatumika wapi nyinyi kweli vilaza afu wapenda sifa wa2 kama nyinyi class huwa mnashika mkia
 
Wapenda sifa wote niliowahi kusoma nao walikuwa wana uwezo mkubwa darasani ikiwemo mimi
 
Back
Top Bottom