Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari zenu wana jf,hiv kuna awamu ya Tatu kutoka heslb?kama ipo, mwenye ufahamu atwambie inatoka lini maana hali ni tete na Leo bwana mpango kasema uchumi umeshuka Asanteni
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Habari wanajukwaa,Tafadhali naomba msaada kwa mwenye notis za Education Psychology za level I katika softcopy anisaidie
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wandugu hivi loan batch ndo teyali zimeisha ? sisi watoto wa mamantilie tutafutege mashamba mapema
0 Reactions
2 Replies
661 Views
wakuu naomba mnisaidie kunitajia vyuo vya afya vya private katika clinical officer na medical labaratory technology
0 Reactions
44 Replies
32K Views
Husika na mada hapo juu,naombeni ushauri juu ya masuala ya chuo Nimechaguliwa kujiunga chuo cha NIT na usajili unaishia tarehe 11 lakini sijafanikiwa kupata mkopo . je nifanye nini kuinusuru...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
01: Laboratory assistant , Hii kozi inatolewa na VETA ina soko kweli la ajira ? na unasomea nini ? unaajiriwa kama nani ?? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
8K Views
PONGEZI NYINGI KWA NECTA KWA KUFANYIA KAZI MAONI YANGU KUHUSU UDANGANYIFU WA MITIHANI KWA WILAYA YA TUNDURU,hii italeta fundisho ,wanafunzi watasoma kujiandaa na mitihani na si kwa njia za mkato...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imefuta usajili wa kituo cha chuo kikuu kishiriki cha kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) na kuamuru wanafunzi wote wanaoendelea na masomo wahamishwe...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetoa orodha ya Awamu ya Tatu ya wanafunzi 7,901 wa Mwaka wa Kwanza waliofanikiwa kupata mikopo na hivyo kufanya jumla ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza...
3 Reactions
222 Replies
62K Views
Ndugu zangu me ni nasubiria kwa hamu uhamisho aliye na chanzo rasmi kuhusu uhamisho wa watumishi mbalimbali. Uhumisho ukitoka sept ulielekeza mwisho October sasa mpaka leo kimya. Aliye na detail...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari.. Mpaka sasa naona bado wizara imenyamaza haitoi tamko lolote kwa sisi ambao tumechaguliwa mwaka wa masomo 2018/2019 kuwa tunaanza kuriport lini mwenye taarifa yyt naomba anijuze
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kwa frst year uliopo mazimbu uliyepata hostel za ndani naomba tusaidiane unibebe ,,mm nitatoa ela yotee..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nataft chumba karib na sua main campus
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Asilimia zaidi ya 90 ya wanafunzi walioomba mikopo wapo katika sintofahamu juu ya hatma yao ya elimu.ukizingatia vyuo vimeshafunguliwa, Kama kuna taarifa yoyote rasmi toka bodi tujuzane wadau...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Haya wadau mkoa wa pwani unawanafunzi zaidi ya elfu 18 wa shule ya msingi na sekondary wa kidato cha 3,hawajui kusoma na kuandika je nani wakulaumiwa hapo? kwa upande wangu mimi nailaumu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Habari wapendwa wa jukwaa hili pendwa LA elimu ikiwa ndo wiki ya kwanza kabisa baada ya kukaa mtaani muda mrefu sasa hatimae sasa vyuo vimefunguliwa nikiwa ndo first year ambaye Niko college ya...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Wasalaam Wanajamvi. Bila shaka leo ni mara yangu ya kwanza kuweka uzi hapa Jamvi la GTs. Tanzania ya miaka hii imekosa wasomi wenye uwezo wa kutumia Elimu yao kwa manufaa mapana ya taasisi...
3 Reactions
25 Replies
9K Views
Back
Top Bottom