Dr.Kasidi wa IAA hafai hata kuwa mlezi wa bweni

GFAZA

Member
Dec 17, 2017
24
19
Wasalaam Wanajamvi.
Bila shaka leo ni mara yangu ya kwanza kuweka uzi hapa Jamvi la GTs.

Tanzania ya miaka hii imekosa wasomi wenye uwezo wa kutumia Elimu yao kwa manufaa mapana ya taasisi wanazoziongoza na Taifa kwa ujumla.

Ni Tanzania amabayo watu wake hawaamini tena katika weledi na misingi ya Elimu zao kuwa ni mhimu kwa Taifa na jamii kwa ujumla.

Ni tanzania ambayo watu wake hususani watendaji, wako Tayari kupoteza Bilioni Moja Ili kupata Shilingi Mia Tano tuu ili mradi wamewafurahisha watu fulani au kikundi fulani cha watu.

Chuo cha uhasibu Arusha Ni chuo cha serikali, kina wanafunzi takribani 3000/- Kipo mkoani Arusha Njiro. IAA ina uongozi wa wanafunzi na viongozi wake hupatikani kwa kwa njia ya uchaguzi wa kidemokrasia. Wanafunzi kama ilivyo uraiani, wana vyama vyao vya kisiasa japo tiketi kuu ya kushiriki uchaguzi yaani kuchagua ama kuchaguliwa ni kuwa mwanafunzi na mwananchama wa jumuia ya wanafunzi yaani IAASO.

Tokea chuo kianze, hakujawahi kutokea machafuko au hali yeyote ya uvunjifu wa amani katika chuo hiki. Wakuu wengi wa chuo wamepita, japo walikuwa na mapungufu yao, ila Huyu Kaimu mkuu wa chuo Dr. Faraji Kasidi amevunja rekodi ya kuwa kiongozi mbaya na mwenye uwezo mdogo kuliko hata wale tuliodhani walikuwa fake profesor kama Prof. Monyo aliyemaliza muda wake miezi kadhaa iliyopita.

Dr. Faraji Kasidi akishirikiana na Mlezi wa wanafunzi wa IAA, Bwn. Peter Mngara waliingilia uchaguzi huru wa wanafunzi wa uhasibu kwa maslahi yao binafsi. Wanafunzi kupitia Tume ya uchaguzi iliteuwa na kupitisha wagombea watatu wa uraisi, makamu wa rais na mawaziri wakuu.

Tume ikatangaza kampeni kuanza kwa wagombea kujinadi, mmoja wa wagombea ambaye ndiye rais wa chuo wa sasa kwa jina la BARAKA ALEX, alishindwa kwenye kura za maoni kupitia Tume ya uchaguzi, Chuo kupitia Mkuu wa chuo na Mlezi wa wanafunzi walishinikiza kuvunjwa kwa tume au Kumuongeza Bwn. BARAKA ALEX awe mgombea wa nne nje ya utaratibu wa Tume wa kupitisha wagombea watatu.

Tume kwa kuhofia masoma na vitisho kutoka kwa Dr. Kasidi waliamua kuruhusu mgombea wa chuo kushiriki kampeni. Hali yake katika kampeni ilikuwa mbaya na alikuwa hakubariki kabisa.

Siku ya uchaguzi, wanafunzi walipiga kura kwa amani kabisa bila shida wala ghasia yeyote.Mnamo saa kumi zoezi lia kupiga kura liliisha. Mara baada ya kuanza kuhesabu kura, Defender mbili za polisi zikaingia ndani ya chuo na kuelekea kwa mkuu wa chuo, Mara baada ya muda mfupi, Ikatoka amri kutoka kwa mkuu mlezi wa wanafunzi kuwa kura zisihesabiwe kwenye vituo, mawakala na wasimamizi wa uchaguzi wabebe masanduku ya kura kwenda kuhesabia sehemu moja kwa pamoja.

Kura zilihesabiwa wakianza na waziri mkuu, Kumbukamkulikuwa na kambi mbili za uchaguzi Bwn. ONESMO PETER alikuwa mgombea ambaye wanafunzi wengi walimunga mkono, ila kwa sababu yeye alikuwa upande wa Upinzani Dr. Kasid na washirika wake hawakumhitaji kabisa. Matokea ya waziri mkuu wa Bwn. ONESMO PETTER kwa jina la MICHAEL alishinda kwa kishindo dhidi ya mpinzani wake, Matokeo ya makamu wa rais nayo pia mshirika wa ONESMO alishiinda. Ilipofika nafasi ya Urais vituo vyote vilikamilika huku ONESMO PETER akiwa anaongoza kwa kura zaidi ya 300 dhidi ya Mpinzani wake na Mpambe wa uongozi wa chuo.

Muda kidogo wakiwa wanajiandaa kwenda kutangaza wagombea, Umeme ulizimwa chuo kizima na polisi kuingia ndani ya kituo cha kuhesabia kura na kuanza kupiga mawakala na wasimamizi wa uchaguzi, Matokeo yalibadirishwa watakavyo wao na hatimaye mida ya saa nane usiku wakamtangaza bwn. BARAKA ALEX kuwa Rais wa chuo hicho, wakamucha Waziri mkuu pekee yake.

Kwanini mkuu wa chuo hafai hata kuwa mlezi wa bweni.

1. Alikuwa tayari hata wanafunzi wafe kwa risasi za polisi endapo wangeamua kuopigania haki yao ya kumpata kiongozi walimpgia kura kwa kishindo.

2. Alikuwa yuko tayari majengo ya chuo yachomwe moto na kuharibiwa kisa kumuweka kibaraka wao madarakani.

3. Alikuwa tayari wanafunzi waishi kwa uhasama na kutokushirikiana kwa sababu ya tamaa za kupata 10% ya kila hela ya wanafunzi inayotoka kwenye akaunti ya wanafunzi.

4. Alikuwa tayari picha na sura ya IAA iharibike ama kuharibu sifa nzima ya chuo kwa sababu ya uchu wa madaraka ama kuonekana anafanya kazi ya kudhibiti upinzani chuoni hapo.

Dr. Faraji Kasidi hakika hafai hata kuwa mlezi wa Bweni la wanafunzi.
NAWASILISHA.
 
Aliyefanya hayo unayoyalalamikia hajaletwa kwa Bahati mbaya. Akikamilisha kazi iliyomleta atapongezwa. Someni alama za nyakati. Kumiliki kadi za vyama vyote vya siasa haija wahi kuwa kosa kamwe!
 
Wasalaam Wanajamvi.
Bila shaka leo ni mara yangu ya kwanza kuweka uzi hapa Jamvi la GTs. Tanzania ya miaka hii imekosa wasomi wenye uwezo wa kutumia Elimu yao kwa manufaa mapana ya taasisi wanazoziongoza na Taifa kwa ujumla.Ni Tanzania amabayo watu wake hawaamini tena katika weledi na misingi ya Elimu zao kuwa ni mhimu kwa Taifa na jamii kwa ujumla. Ni tanzania ambayo watu wake hususani watendaji, wako Tayari kupoteza Bilioni Moja Ili kupata Shilingi Mia Tano tuu ili mradi wamewafurahisha watu fulani au kikundi fulani cha watu.

Chuo cha uhasibu Arusha Ni chuo cha serikali, kina wanafunzi takribani 3000/- Kipo mkoani Arusha Njiro. IAA ina uongozi wa wanafunzi na viongozi wake hupatikani kwa kwa njia ya uchaguzi wa kidemokrasia. Wanafunzi kama ilivyo uraiani, wana vyama vyao vya kisiasa japo tiketi kuu ya kushiriki uchaguzi yaani kuchagua ama kuchaguliwa ni kuwa mwanafunzi na mwananchama wa jumuia ya wanafunzi yaani IAASO.
Tokea chuo kianze, hakujawahi kutokea machafuko au hali yeyote ya uvunjifu wa amani katika chuo hiki. Wakuu wengi wa chuo wamepita, japo walikuwa na mapungufu yao, ila Huyu Kaimu mkuu wa chuo Dr. Faraji Kasidi amevunja rekodi ya kuwa kiongozi mbaya na mwenye uwezo mdogo kuliko hata wale tuliodhani walikuwa fake profesor kama Prof. Monyo aliyemaliza muda wake miezi kadhaa iliyopita.
Dr. Faraji Kasidi akishirikiana na Mlezi wa wanafunzi wa IAA, Bwn. Peter Mngara waliingilia uchaguzi huru wa wanafunzi wa uhasibu kwa maslahi yao binafsi. Wanafunzi kupitia Tume ya uchaguzi iliteuwa na kupitisha wagombea watatu wa uraisi, makamu wa rais na mawaziri wakuu. Tume ikatangaza kampeni kuanza kwa wagombea kujinadi, mmoja wa wagombea ambaye ndiye rais wa chuo wa sasa kwa jina la BARAKA ALEX, alishindwa kwenye kura za maoni kupitia Tume ya uchaguzi, Chuo kupitia Mkuu wa chuo na Mlezi wa wanafunzi walishinikiza kuvunjwa kwa tume au Kumuongeza Bwn. BARAKA ALEX awe mgombea wa nne nje ya utaratibu wa Tume wa kupitisha wagombea watatu. Tume kwa kuhofia masoma na vitisho kutoka kwa Dr. Kasidi waliamua kuruhusu mgombea wa chuo kushiriki kampeni. Hali yake katika kampeni ilikuwa mbaya na alikuwa hakubariki kabisa.
Siku ya uchaguzi, wanafunzi walipiga kura kwa amani kabisa bila shida wala ghasia yeyote.Mnamo saa kumi zoezi lia kupiga kura liliisha. Mara baada ya kuanza kuhesabu kura, Defender mbili za polisi zikaingia ndani ya chuo na kuelekea kwa mkuu wa chuo, Mara baada ya muda mfupi, Ikatoka amri kutoka kwa mkuu mlezi wa wanafunzi kuwa kura zisihesabiwe kwenye vituo, mawakala na wasimamizi wa uchaguzi wabebe masanduku ya kura kwenda kuhesabia sehemu moja kwa pamoja.
Kura zilihesabiwa wakianza na waziri mkuu, Kumbukamkulikuwa na kambi mbili za uchaguzi Bwn. ONESMO PETER alikuwa mgombea ambaye wanafunzi wengi walimunga mkono, ila kwa sababu yeye alikuwa upande wa Upinzani Dr. Kasid na washirika wake hawakumhitaji kabisa. Matokea ya waziri mkuu wa Bwn. ONESMO PETTER kwa jina la MICHAEL alishinda kwa kishindo dhidi ya mpinzani wake, Matokeo ya makamu wa rais nayo pia mshirika wa ONESMO alishiinda. Ilipofika nafasi ya Urais vituo vyote vilikamilika huku ONESMO PETER akiwa anaongoza kwa kura zaidi ya 300 dhidi ya Mpinzani wake na Mpambe wa uongozi wa chuo. Muda kidogo wakiwa wanajiandaa kwenda kutangaza wagombea, Umeme ulizimwa chuo kizima na polisi kuingia ndani ya kituo cha kuhesabia kura na kuanza kupiga mawakala na wasimamizi wa uchaguzi, Matokeo yalibadirishwa watakavyo wao na hatimaye mida ya saa nane usiku wakamtangaza bwn. BARAKA ALEX kuwa Rais wa chuo hicho, wakamucha Waziri mkuu pekee yake.
Kwanini mkuu wa chuo hafai hata kuwa mlezi wa bweni.
1. Alikuwa tayari hata wanafunzi wafe kwa risasi za polisi endapo wangeamua kuopigania haki yao ya kumpata kiongozi walimpgia kura kwa kishindo.
2. Alikuwa yuko tayari majengo ya chuo yachomwe moto na kuharibiwa kisa kumuweka kibaraka wao madarakani.
3. Alikuwa tayari wanafunzi waishi kwa uhasama na kutokushirikiana kwa sababu ya tamaa za kupata 10% ya kila hela ya wanafunzi inayotoka kwenye akaunti ya wanafunzi.
4. Alikuwa tayari picha na sura ya IAA iharibike ama kuharibu sifa nzima ya chuo kwa sababu ya uchu wa madaraka ama kuonekana anafanya kazi ya kudhibiti upinzani chuoni hapo.
Dr. Faraji Kasidi hakika hafai hata kuwa mlezi wa Bweni la wanafunzi.
NAWASILISHA.
KATIKA UZI WAKO KILI NICHANGANYA KUSOMA MAANA NILIKUWA NA KUNYWA BALIMI.KWANI SHIMO LA MCHIMBA CHOO LIMESHINDWA KUSHINDWA KUCHIMBA MAANA MCHIMBA CHOO NDIO UWEZO WAKE WA KIPIMO
 
Chadema tangu vyuoni kumbe hamna upeo
 
Ingekuwa kwenye uendeshaji wa chuo ningekuelewa, ila huu uchaguzi ambao haukupeleki hata makao makuu ya CUF au CHADEMA au CCM! Huu ni ubwege, ongelea mambo kama haya....

Ungenieleza kuwa ameshindwa kukiendesha chuo mpaka anafunga tawi la IAA Mwanza ningekuelewa

Au ameshindwa hata kuboresha tawi la Kalatu na ameshindwa kuanzisha matawi mapya kama wenzao CBE, TIA na IFM ningekuelewa sana

Au ameshindwa hata kujenga hostel kwa ubia na NSSF, LAPF nk wakati chuo kina eneo kubwa hapo ningekuelewa

Au ungesema kuwa amaeshindwa kujenga madarasa ya maana chuoni mpaka amejenga mabanda ya kusomea kama kumbi za harusi ningekuelewa

Ungesema kuwa ameshindwa kuweka mikakati hata ya kukitangaza chuo mpaka anakosa wanafunzi ningekuelewa

Ungenambia kuwa ameshindwa kukiongoza chuo maana kila kukicha n misuguano kati ya walimu na walimu ningekuelewa

Kwa uelewa wangu nilivyotaja hapo juu nn vyo vinamwondolea sifa ya kuwa mkuu wa chuo cha uhasibu Arusha.

Chuo hakikui tena bali kinazidi kupoteza umaarufu tofauti na zamani.

Chuo kinaelekea kumfia muda c mrefu. Hana vision ya kukisaidia chuo.
 
Wasalaam Wanajamvi.
Bila shaka leo ni mara yangu ya kwanza kuweka uzi hapa Jamvi la GTs.

Tanzania ya miaka hii imekosa wasomi wenye uwezo wa kutumia Elimu yao kwa manufaa mapana ya taasisi wanazoziongoza na Taifa kwa ujumla.

Ni Tanzania amabayo watu wake hawaamini tena katika weledi na misingi ya Elimu zao kuwa ni mhimu kwa Taifa na jamii kwa ujumla.

Ni tanzania ambayo watu wake hususani watendaji, wako Tayari kupoteza Bilioni Moja Ili kupata Shilingi Mia Tano tuu ili mradi wamewafurahisha watu fulani au kikundi fulani cha watu.

Chuo cha uhasibu Arusha Ni chuo cha serikali, kina wanafunzi takribani 3000/- Kipo mkoani Arusha Njiro. IAA ina uongozi wa wanafunzi na viongozi wake hupatikani kwa kwa njia ya uchaguzi wa kidemokrasia. Wanafunzi kama ilivyo uraiani, wana vyama vyao vya kisiasa japo tiketi kuu ya kushiriki uchaguzi yaani kuchagua ama kuchaguliwa ni kuwa mwanafunzi na mwananchama wa jumuia ya wanafunzi yaani IAASO.

Tokea chuo kianze, hakujawahi kutokea machafuko au hali yeyote ya uvunjifu wa amani katika chuo hiki. Wakuu wengi wa chuo wamepita, japo walikuwa na mapungufu yao, ila Huyu Kaimu mkuu wa chuo Dr. Faraji Kasidi amevunja rekodi ya kuwa kiongozi mbaya na mwenye uwezo mdogo kuliko hata wale tuliodhani walikuwa fake profesor kama Prof. Monyo aliyemaliza muda wake miezi kadhaa iliyopita.

Dr. Faraji Kasidi akishirikiana na Mlezi wa wanafunzi wa IAA, Bwn. Peter Mngara waliingilia uchaguzi huru wa wanafunzi wa uhasibu kwa maslahi yao binafsi. Wanafunzi kupitia Tume ya uchaguzi iliteuwa na kupitisha wagombea watatu wa uraisi, makamu wa rais na mawaziri wakuu.

Tume ikatangaza kampeni kuanza kwa wagombea kujinadi, mmoja wa wagombea ambaye ndiye rais wa chuo wa sasa kwa jina la BARAKA ALEX, alishindwa kwenye kura za maoni kupitia Tume ya uchaguzi, Chuo kupitia Mkuu wa chuo na Mlezi wa wanafunzi walishinikiza kuvunjwa kwa tume au Kumuongeza Bwn. BARAKA ALEX awe mgombea wa nne nje ya utaratibu wa Tume wa kupitisha wagombea watatu.

Tume kwa kuhofia masoma na vitisho kutoka kwa Dr. Kasidi waliamua kuruhusu mgombea wa chuo kushiriki kampeni. Hali yake katika kampeni ilikuwa mbaya na alikuwa hakubariki kabisa.

Siku ya uchaguzi, wanafunzi walipiga kura kwa amani kabisa bila shida wala ghasia yeyote.Mnamo saa kumi zoezi lia kupiga kura liliisha. Mara baada ya kuanza kuhesabu kura, Defender mbili za polisi zikaingia ndani ya chuo na kuelekea kwa mkuu wa chuo, Mara baada ya muda mfupi, Ikatoka amri kutoka kwa mkuu mlezi wa wanafunzi kuwa kura zisihesabiwe kwenye vituo, mawakala na wasimamizi wa uchaguzi wabebe masanduku ya kura kwenda kuhesabia sehemu moja kwa pamoja.

Kura zilihesabiwa wakianza na waziri mkuu, Kumbukamkulikuwa na kambi mbili za uchaguzi Bwn. ONESMO PETER alikuwa mgombea ambaye wanafunzi wengi walimunga mkono, ila kwa sababu yeye alikuwa upande wa Upinzani Dr. Kasid na washirika wake hawakumhitaji kabisa. Matokea ya waziri mkuu wa Bwn. ONESMO PETTER kwa jina la MICHAEL alishinda kwa kishindo dhidi ya mpinzani wake, Matokeo ya makamu wa rais nayo pia mshirika wa ONESMO alishiinda. Ilipofika nafasi ya Urais vituo vyote vilikamilika huku ONESMO PETER akiwa anaongoza kwa kura zaidi ya 300 dhidi ya Mpinzani wake na Mpambe wa uongozi wa chuo.

Muda kidogo wakiwa wanajiandaa kwenda kutangaza wagombea, Umeme ulizimwa chuo kizima na polisi kuingia ndani ya kituo cha kuhesabia kura na kuanza kupiga mawakala na wasimamizi wa uchaguzi, Matokeo yalibadirishwa watakavyo wao na hatimaye mida ya saa nane usiku wakamtangaza bwn. BARAKA ALEX kuwa Rais wa chuo hicho, wakamucha Waziri mkuu pekee yake.

Kwanini mkuu wa chuo hafai hata kuwa mlezi wa bweni.

1. Alikuwa tayari hata wanafunzi wafe kwa risasi za polisi endapo wangeamua kuopigania haki yao ya kumpata kiongozi walimpgia kura kwa kishindo.

2. Alikuwa yuko tayari majengo ya chuo yachomwe moto na kuharibiwa kisa kumuweka kibaraka wao madarakani.

3. Alikuwa tayari wanafunzi waishi kwa uhasama na kutokushirikiana kwa sababu ya tamaa za kupata 10% ya kila hela ya wanafunzi inayotoka kwenye akaunti ya wanafunzi.

4. Alikuwa tayari picha na sura ya IAA iharibike ama kuharibu sifa nzima ya chuo kwa sababu ya uchu wa madaraka ama kuonekana anafanya kazi ya kudhibiti upinzani chuoni hapo.

Dr. Faraji Kasidi hakika hafai hata kuwa mlezi wa Bweni la wanafunzi.
NAWASILISHA.
Mambo ya ccm yanaingizwa mpaka vyuoni?
 
Acha kukichafua chuo changu cha zamanii.. itakua ww ndo umeshindwa uchaguzii unataka kuwachafua wenzio waonekane hawafaii.
 
Back
Top Bottom