Udom college of informatics na changamoto ya vyoo vichafu

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,092
Reaction score
2,923
Habari wapendwa wa jukwaa hili pendwa LA elimu ikiwa ndo wiki ya kwanza kabisa baada ya kukaa mtaani muda mrefu sasa hatimae sasa vyuo vimefunguliwa nikiwa ndo first year ambaye Niko college ya udom informatics naingia chooni nakuta vyoo viko full balaa mpaka juu sasa nikajiuliza kweli majengo yote haya mazuri alafu vyoo ndo hivi...hakika nyumba ni choo.
 
Hama chuo kama unaona hapakufahi
 
Duh!
Habari wapendwa wa jukwaa hili pendwa LA elimu ikiwa ndo wiki ya kwanza kabisa baada ya kukaa mtaani muda mrefu sasa hatimae sasa vyuo vimefunguliwa nikiwa ndo first year ambaye Niko college ya udom informatics naingia chooni nakuta vyoo viko full balaa mpaka juu sasa nikajiuliza kweli majengo yote haya mazuri alafu vyoo ndo hivi...hakika nyumba ni choo.
 
Watanzania wavivu Sana
Unashindwa nn kuzibua hapo
Acha ushalobaro kijana utaugua cholera
 
Ahaaa ila na ww ni mchafu lait ungekuwa msaf ungetufikishia taarifa yakwamb wik ya kwanza nimefany usaf wa choo sio kukashifu vyoo acha uzembe elimika
 
Ndio miaka mi4/3 umalize hapo INFO wiki ya kwanza tu unapiga kelele hivi afu kuna km kimlima hivi hapo INFO kwanini usizame humo ukamaliza haja zako ukarudi rum unapga zako mruzi tu....

Angalizo UPUPU upo wa kutosha labda uwe unaenda na Tissue...
 
Habari wapendwa wa jukwaa hili pendwa LA elimu ikiwa ndo wiki ya kwanza kabisa baada ya kukaa mtaani muda mrefu sasa hatimae sasa vyuo vimefunguliwa nikiwa ndo first year ambaye Niko college ya udom informatics naingia chooni nakuta vyoo viko full balaa mpaka juu sasa nikajiuliza kweli majengo yote haya mazuri alafu vyoo ndo hivi...hakika nyumba ni choo.
Mkuu unataka tukushauri eti?
Okay mimi naona Hapo kwasababu vyuoo vichafu we omba tu kuhama chuo bas.
 
Uko sahihi kwanza miundo mbinu vyumbani wameshaharibu, taa za kusomea switch za kuchajia yaani uharibu uliofanyika hapo UDOM hauendani na umri wa chuo.

Vyoo viko ovyoo yaani kero.
 
Well ,kama first year katka department yenu...kusanyken.. Waiten viongoz wenu ...muwape changamoto znazowakabli.....kama vp changed hela ili miundo mbinu ya college yenu ikarabatiwe.....ss inakuja kulia huku unamaana ganj mkuuu sisi tutasoma tunaacha .....shda ikopalepale....cha mcngi...waambien viongoz wenu na nyie mjitume....na this case is closed simple
 
Subiri Dr mselle akukamate kwenye C++ akili ikae sawa.
 
Nimesoma hapo CIVE mpaka nikamaliza. Ni kweli vyoo si vizuri kwenye suala la usafi, ila wakat wetu tulikuwa na utaratib wa usafi so vyoo vilikuwa visaf muda mwingi. Labda kama kipind hiki.
So kaza buti kijana piga kitabu. Masuala ya choo waachie uongoz, maana huwa wanaajiri watu kwa ajilo ya kusafisha vyoo
Habari wapendwa wa jukwaa hili pendwa LA elimu ikiwa ndo wiki ya kwanza kabisa baada ya kukaa mtaani muda mrefu sasa hatimae sasa vyuo vimefunguliwa nikiwa ndo first year ambaye Niko college ya udom informatics naingia chooni nakuta vyoo viko full balaa mpaka juu sasa nikajiuliza kweli majengo yote haya mazuri alafu vyoo ndo hivi...hakika nyumba ni choo.
 
Kuna pori kubwa kati ya utawala na info. Kule hata ukizama ukafanya yako hakuna mtu atajua
Ndio miaka mi4/3 umalize hapo INFO wiki ya kwanza tu unapiga kelele hivi afu kuna km kimlima hivi hapo INFO kwanini usizame humo ukamaliza haja zako ukarudi rum unapga zako mruzi tu....

Angalizo UPUPU upo wa kutosha labda uwe unaenda na Tissue...
 
Habari wapendwa wa jukwaa hili pendwa LA elimu ikiwa ndo wiki ya kwanza kabisa baada ya kukaa mtaani muda mrefu sasa hatimae sasa vyuo vimefunguliwa nikiwa ndo first year ambaye Niko college ya udom informatics naingia chooni nakuta vyoo viko full balaa mpaka juu sasa nikajiuliza kweli majengo yote haya mazuri alafu vyoo ndo hivi...hakika nyumba ni choo.
Mbona picha hamna? Nina mashaka na hii habari
 
Back
Top Bottom