PONGEZI NECTA

PONGEZI NECTA

MPEPE

Senior Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
155
Reaction score
65
PONGEZI NYINGI KWA NECTA KWA KUFANYIA KAZI MAONI YANGU KUHUSU UDANGANYIFU WA MITIHANI KWA WILAYA YA TUNDURU,hii italeta fundisho ,wanafunzi watasoma kujiandaa na mitihani na si kwa njia za mkato kama hapo awali,wasimamizi na wakuu wa shule pia pokeeni haya mabadiliko acheni mazoea.
 
nchi Nguni hii, maafisa elimu wamewekewa target ya kufaulisha , sasa wafanyaje
 
Back
Top Bottom