KINACHOENDELEA BODI YA MIKOPO NI SINTOFAHAMU NA KIMYA KIZITO

Ngomile

Member
Mar 18, 2018
18
14
Asilimia zaidi ya 90 ya wanafunzi walioomba mikopo wapo katika sintofahamu juu ya hatma yao ya elimu.ukizingatia vyuo vimeshafunguliwa,
Kama kuna taarifa yoyote rasmi toka bodi tujuzane wadau. Maana hali si nzuri
 
Write your reply...Mimi Basi Nawaomba Bodi Iniludishie Ata Elfu 15 Ya Ile Elfu 30 Nlizowalipa Kuanza Fanya Maombi Njalibu Uza Matikiti Msimu Wa Kiangazi Huu UWenda Mungu Akanionea Uko Uku Sitakiwi
 
Asilimia zaidi ya 90 ya wanafunzi walioomba mikopo wapo katika sintofahamu juu ya hatma yao ya elimu.ukizingatia vyuo vimeshafunguliwa,
Kama kuna taarifa yoyote rasmi toka bodi tujuzane wadau. Maana hali si nzuri
Hatari sana yaani saa hizi batch ya 3 imetoka kwa chuo cha SUA tiyari hapo ndo ujue labda majina ya waliopata awamu ya 3 yanapelekwa chuoni moja kwa moja kwa hiyo kila mtu ni kuchungulia website ya chuo alichochaguliwa kuona updates zozote!
Sijui kwa nini hawaweki kwenye website yao!!!
 
Hiki unachokisema binafc sikiamini tusibitishie
 
Hatari sana yaani saa hizi batch ya 3 imetoka kwa chuo cha SUA tiyari hapo ndo ujue labda majina ya waliopata awamu ya 3 yanapelekwa chuoni moja kwa moja kwa hiyo kila mtu ni kuchungulia website ya chuo alichochaguliwa kuona updates zozote!
Sijui kwa nini hawaweki kwenye website yao!!!
Hujaelewa boss... Zile batch za SUA ni tofauti na batch za HESLB yale majina ni yale yale ya mwanzo... Kutoka heslb
 
tatizo wametofautisha wale wa batch 3 na batch 1 sasa hapo inakuaje mkuu
 
Attachments

  • Screenshot_20181108-220705.png
    Screenshot_20181108-220705.png
    14.7 KB · Views: 24
Ni kwel hili swala limewashinda kwanza kuna matatizo makuu mawili moja kuna watu majina yao yalitolewa first batch kuwa watapata mkopo ila majina yaliyopelekwa vyuoni wengine yao hayamo wakaleta majina ambao walipata first batch ila jina halipo kwenye allocation wanasema kuna taarifa walikosea kujaza mlikuwa wapi kuhakiki hizo taarifa ndo mtoe mkopo
Pili Mimi binafsi jina lipo kwenye first batch hawajanipa allocation alafu kwenye hao waliokosea na majina yakatoka halimo wanasema labda sikwangalia vizur
Daaa Tanzania nchi yangu wapi tunaenda
 
Ok kwa hyo tusitegemee kuona bodi ikitangaza awamu ya 3 publicity wameamua kupeleka majina ya batch ya 3 kimya kimya chuoni au inakuwaje?
ndo hapo sijaelewa na mimi inakuaje SUA washapata batch 3 ina maana bodi ishayatuma vyuoni hayo majina ya roun ya 3!
kama ni kweli najiuliza kwa nini wasiyaweke publicity wanachoogopa ni nini!
 
Sasa mwanafunzi ambae hajafika chuo atajuaje kama kapata mkopo au kuangalia kwenye account zetu?
 
ndo hapo sijaelewa na mimi inakuaje SUA washapata batch 3 ina maana bodi ishayatuma vyuoni hayo majina ya roun ya 3!
kama ni kweli najiuliza kwa nini wasiyaweke publicity wanachoogopa ni nini!

mhhhhhhhhhhh mbona vyuo awamu ya 3 bado hawajatoa sasa itakuwaje sua wapate?
 
Asilimia zaidi ya 90 ya wanafunzi walioomba mikopo wapo katika sintofahamu juu ya hatma yao ya elimu.ukizingatia vyuo vimeshafunguliwa,
Kama kuna taarifa yoyote rasmi toka bodi tujuzane wadau. Maana hali si nzuri
Mkopo awamu ya tatu ushatoka idadi ya wanafunzi 4060, wamenufaika,, kikao cha kuyaidhinisha majina hayo ndo kinafanyika sasahivi,, baada ya muda mchache majina yatapandisha mtandaoni,, ila batch ya tatu isha tumwa vyuoni
 
mbna wanatoa kidogo kidogo sana??
 
Back
Top Bottom