Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ni hv wandugu wanafunzi walifanya UE mwezi 9 kwenda mwaka 3 lakini kama wanafunzi 180 walipata suprimementary katika somo la IT wakafanya tena mtihan wa hlo somo ili wasapue but wanafunzi wote...
2 Reactions
56 Replies
12K Views
Usangi Girls Secondary school ni shule nzuri ya wasichana ilioko kilimanjaro wilaya ya mwanga ni shule ya kanisa la kilutheri na inawalimu wa kutosha na maabara za kisasa na computer za kisasa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Tangazo hili la mahafali limesainiwa na makamu mkuu wa chuo .Linaonyesha idadi kubwa ya wahitimu watarajiwa wa kike kuliko ile ya wanaume.Je lina ukweli ? Ukilitazama jedwali la wahitimu katika...
4 Reactions
24 Replies
5K Views
The length of a rectangular prism is quadrupled, the width is doubled, and the height is cut in half. If V is the volume of the rectangular prism before the modification, express the volume after...
0 Reactions
1 Replies
659 Views
Habari wakuuu Kuna mtoto wangu hapa wa 5yrs nahtaji kumpeleka Kenya akasome kwa level ya primary kwa sababu mm npo mpakan tu huku so naona its better nkampeleka Kenya apate angalau chochote...
1 Reactions
0 Replies
768 Views
HABARI ZENU katika pitpita zngu za kutafuta scholaship ughaibuni nimekua nikikutana na hii kit. maombi yaambatane na cheti cha ujuzi wa kiingereza cha IELTS suali cheti cha IELTS...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Naomba yeyote anayeweza kufundisha Quickbooks kwa Gharama nafuu tuwasiliane HARAKA. Mtu yeyote anayeweza kuelewesha na kueleweka anafaa kwa hili zoezi. Kama unamfahamu yeyote ,tuwasiliane mapema...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Jf ni zaidi ya google hilo halina mjadala. Kozi tajwa japo juu inatolewa na Open University of Tanzania binafsi naiona kama ina future nzuri kwa maana ya kuona neno "ENERGY" na sio zaidi,wakuu ebu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jaman nna swali kuna utofauti gani Kati ya hizi courses mbili hapo juu mwenye ufaham naomba anifungue
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Baada ya kufuta Central Admission System (CAS) na kuweka uombaji wa vyuo moja kwa moja chuoni (Direct Application to Institutions-DAI) naamini sasa tumepata uzoefu unaotuwezesha kufanya tathmini...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Naomba kuuliza kuna ndugu yangu amepoteza result slip wakati wa usajili wa chuo kikuu ,je kuna utaratibu wowote unaweza kufanyika ili kumuokoa🙏🏽🙏🏽🙏🏽
1 Reactions
1 Replies
772 Views
Poleni na majukumu wakuu,kama thread title ilivyo hapo juu naomba kuuliza hii kozi ya environmental engineering inahitaji requirements gani ili uweze kuisomea?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani kwa wale ambao walipata batch ya kwanza ila allocation board ilisema wasubiri, vip kunawaliopata allocation baada ya batch ya tatu kuachiwa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kuna first year aliyepata room mazmbu naomba tushare cost unibebE mwana jf mwenzako,, 0754350882,,, nitalipa ela yote uliyolipaa ww... Usitishwe na mkwara.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi karibuni kumekuwa na fungia fungia ya vyuo vikuuu vya binafsi kwa kasi ya ajabu. Ina maana hakuna vyuo vya umma visivyokidhi vigezo,kanuni ,sheria na taratibu za uendeshaji? Tuwe wakweli ktk...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wadau,property and facilities management ya ardhi;inahusiana na nini ?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf, Kichwa cha habari chahusika, Leo naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwako na wasaidizi wako kwa ujumla kwa kufanikisha kuwakamata na kufuta matokeo kwa baadhi ya shule katika...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Loan Board baada ya kutoa ile list ya waliofanikiwa kupata mkopo. Wakaweka tena vigezo vingine kwenye allocation. Kwenye kuallocate wanasema wameweka kigezo cha unatakiwa elimu yako ya sasa iwe si...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Tafadhali hebu tuzungumzie changamoto za mfumo wetu wa elimu kuanzia mwanzo mpaka pale wanasema elimu haina mwisho...
0 Reactions
1 Replies
688 Views
Naomba kufahamishwa namna naweza kufanya maombi pasina kufika makao makuu Dodoma au Dar es Salaam ili kupunguza gharama za usafiri ili nijaze fomu nikiwa mkoani. Kwa yule anaetambua au aliyewahi...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…