C cmomwa Member Joined Jun 19, 2016 Posts 55 Reaction score 8 Nov 11, 2018 #1 jamani kwa wale ambao walipata batch ya kwanza ila allocation board ilisema wasubiri, vip kunawaliopata allocation baada ya batch ya tatu kuachiwa?
jamani kwa wale ambao walipata batch ya kwanza ila allocation board ilisema wasubiri, vip kunawaliopata allocation baada ya batch ya tatu kuachiwa?
Dr.philosophy Senior Member Joined Oct 12, 2012 Posts 122 Reaction score 27 Nov 12, 2018 #2 Dah sisi wengine waliotucomfimia tuna admission letter ya vyuo 3 allocation zetu ztasumbua sana