batan
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 417
- 364
Ni hv wandugu wanafunzi walifanya UE mwezi 9 kwenda mwaka 3 lakini kama wanafunzi 180 walipata suprimementary katika somo la IT wakafanya tena mtihan wa hlo somo ili wasapue but wanafunzi wote wakafeli tena kwa kupata f.Wakarud nyumban sabab ilikua ni likizo lakini baada ya hayo matokeo ambalo somo hilo anafundisha mwalimu Daudi,idara ya logistic ikahoji iweje wanafunzi wote wafeli tena kwa kupata f?.Uongozi ukabadilisha mwalimu wa somo na mwalimu Daudi akaondolewa.Mwalimu aliteuliwa akatangaza wanafunzi warudi chuoni atawafundisha kwa siku 10 na atawapa mtihan mwingine.So wanafunzi wakarudi chuon toka likizo wengine waliwahi kurudi na wengine walichelewa,siku ya mtihan ikafika na wanafunzi wakafka kwenye chumba cha mtihan mara wakaambiwa waliochelewa kufika hawatafanya mtihan kwa hyo watoke nje na wakafanya hivyo.lakini badae wakataka kujua hatma yao mana hawakuchelewa kwa makusudi Kwan ilikua ni likizo na walikua nyumban.Sasa cha ajabu wameambiwa wanarudia mwaka wa pili kwa kufeli somo moja tu tena watasoma semester ya pili.Kawaida vyuo vyote ukifeli somo moja unaenda mwaka 2 au 3 lakini unabeba/soma lile somo ulilofeli mwaka uliopita.Wizara ya Elimu hebu kitazameni hiki chuo cha jicho LA tatu mana kuna Madudu mengi saana pale NIT wakufunzi ni kama miungu watu. Na hawa wanafunzi 180 wanarudia mwaka kwa kufeli somo moja tu tunaomba wizara husika mkitazame iki chuo