Ni namna ipi naweza kupata leseni ya ufundi umeme toka EWURA nikiwa mkoani?

mkandu

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
335
460
Naomba kufahamishwa namna naweza kufanya maombi pasina kufika makao makuu Dodoma au Dar es Salaam ili kupunguza gharama za usafiri ili nijaze fomu nikiwa mkoani.

Kwa yule anaetambua au aliyewahi kufanya hayo maombi.
 
Back
Top Bottom