Kwa first year aliyepata hostel mazimbu, Chuo Kikuu Sokoine

Zingzingzing

JF-Expert Member
May 13, 2014
655
604
Kama kuna first year aliyepata room mazmbu naomba tushare cost unibebE mwana jf mwenzako,, 0754350882,,, nitalipa ela yote uliyolipaa ww... Usitishwe na mkwara.
 
naona first year mnajimwaya mwaya, wewe ni KE au ME?. Natafuta KE sura nzuri, umbo lijae, mchangamfu, asisahau kusoma...aje nimpe room yangu akae bureeee :p:p:cool:mm nasafiri naenda Mby kwa miezi 6
 
naona first year mnajimwaya mwaya, wewe ni KE au ME?. Natafuta KE sura nzuri, umbo lijae, mchangamfu, asisahau kusoma...aje nimpe room yangu akae bureeee :p:p:cool:mm nasafiri naenda Mby kwa miezi 6
ME mkuuu,tuongee bas mkuu
 
Kama una pesa tegea kipindi watu wamekuja kufanya mahafali mtu unakuta anauza chumba mpaka vitu vilivyomo ndani.

Maana kipindi hicho mtu anatakiwa alipie majoho,nauli ya kurudi home sasa hapo mtu vitu huwa anauza kwa bei sawa na bure maana kaka kitaa hana boom hata pesa ya vocha.
 
Wadogo zangu tusaidiane kwa hilo tafazalii,,,nami nitawabeba nikiwa mwaka w 3
 
Back
Top Bottom