Huwezi soma engineering kama huna Phy Na Pure maths. Japo sometimes miaka yetu PCB walikua wanapewa nafasi sijui kama siku hizi wanaruhusu. Ila env engineering ni kama civil so kama bichwa lako gumu utaaga mapema sana.Undergraduate mkuu na comb gani anaweza akaisoma hii kozi