sir j
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 319
- 214
Habarini sa asubuhi ndugu zanguni. Heri ya Christmas na mwaka mpya.
Ndugu zanguni, naombeni msaada wenu, mwanangu kachaguliwa kujiunga na shule ya sekondari Kazima-Tabora, lakini sijapata Joining instruction.
Naombeni kwa yeyote ambaye mwanae au nduguye kachaguliwa shule hiyo kidato cha kwanza (form one) na amekwisha kupata joining instruction ama mtu yeyote anisaidie ili nifanye maandalizi stahiki ya kumpeleka mwanangu shule.
Asanteni sana ndugu zanguni. Mwenyezi Mungu awabariki.