Walio chaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2018

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
8,282
8,827
Orodha ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza kwa mwaka 2018 zina patikana ktk websites za wilaya mbalimbali na katika mbao za matangazo katika wilaya hizo

hapa chini ni baadhi ya wilaya zilizo weza kutumia website zao vizuri kwa kuwapa taarifa wananchi juu ya taarifa wanazo takiwa kuzipata....

NB:
tusaidiane kuweka za huko ulipo ili kurahisisha zoezi hili ambalo baadhi ya watendaji kwao limekuwa mtiahani mzito

http://www.mtwaradc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/form one 2018.pdf

Announcement | Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Announcement | Meru District Council

Announcement | Mkoa wa Dar es Salaam
 
Ahsante sana!
 
HII MAANA YAKE NINI? MIKOA MINGINE HAINA ICTs KIASI KWAMBA WAMESHINDWA KUWEKA HATA KWENYE WEBSITE ZA HALMASHAURI AU MIKOA?
 
Back
Top Bottom