Naomba ushauri, nataka nisomee fani ya umeme wa magari

kindoki

JF-Expert Member
Sep 17, 2018
213
218
Wadau, ninajickia hamu ya kuingia veta kusomea fani ya umeme Wa magari kwa short course lakin, mwenye uzoefu na fani hii anisaidie kunipa dondoo muhimu, kozi ya muda mfupi inachukua muda gani? Inagharimu bei gani kama ada ya masomo? Market ability yake ipo vp nikifanikiwa kufuzu masomo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kozi nzuri hasa ukizingatia tunaenda kwenye teknolojia ya magari ya umeme. Hatutakuwa na magari ya kutumia injini siku zijazo magari mengi yatatumia umeme.
 
Wadau, ninajickia hamu ya kuingia veta kusomea fani ya umeme Wa magari kwa short course lakin, mwenye uzoefu na fani hii anisaidie kunipa dondoo muhimu, kozi ya muda mfupi inachukua muda gani? Inagharimu bei gani kama ada ya masomo? Market ability yake ipo vp nikifanikiwa kufuzu masomo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vizuri usome kozi ndefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kozi fupi umeme wa magari Tsh 180,000/= miezi 2.
Ni vizuri usome kozi ndefu miaka 2 mpaka 3 ndo utakuwa fit zaidi.
 
Back
Top Bottom