Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari wakuu? Ninanyenyekea mbele zenu bila bughudha nina shida ya mawasiliano ya VETA Hotel and Tourism Training Institute - VHTTI kwa ambaye anafahamu, na pia hata kama hauna mawasiliano naomba...
2 Reactions
8 Replies
6K Views
Naomba wanaJF mnisaidie cheti cha form six cha mtoto wa mjomba wangu kimekosewa jina. Kuna herufi imepungua mfano badala ya Omary Juma Daawir imeandikwa Omary Juma Al Daawi. Kuna herufi zimezidi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifutia usajili vyuo 7 kikiwamo Time School of Journalism (TSJ), kwa kutokidhi vigezo vya kutoa mafunzo yanayoratibiwa na baraza hilo. Mkurugenzi wa...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa aliyekosa asubiri second Round ila ngoja niwape ushauri wadogo zangu na wakubwa zangu siku nyingine mupate. Kwa sasa Uhitaji wa wanafunzi kusoma vyuo vya afya hasa vya serikali ni mkubwa...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Sorry waungwana Niko nasoma chuo taasisi ya uhasibu DSM campus , lakini pamoja na hivo nimebahatika kupata kazi sehem so kulingana na hali halisi ya kimaisha nataka nisiache chuo nataka nisome...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hivi umeshawahi kujiuliza kama inawezekana kusomea Udaktari kuanzia primary School hadi chuo kikuu? Kitu hiki kinawezekana kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu Wana JF Habari zenu, tafadhali naomba nisaidiwe orodha ya Sekondari mkoa wa Katavi ikiwezekana na viwango vya ufaulu matokeo kidato cha IV 2019.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Napenda kuwakaribisha wote wenye mpango wa kufanya mitihani ya bodi ya ugavi mwaka huu lengo likiwa ni: - Kupeana uzoefu - Kufahamiana - Kujadiliana - Kupeana mbinu - Kupeana connection Na yale...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau nimeikuta sehemu. Sisi huku kwa mkoloni ndiyo kumekucha. Wahusika fikisheni ujumbe kwa Alumni wenu. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Professor Lughano Kusiluka amewaomba Alumni kuja na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda huu. Leo ningependa tushirikishane kwa wale wenye uzoefu wa kusoma abroad. Hivi ili upate Visa ya kwenda kupiga kitabu Marekani unapaswa ufanyeje? Maana nataka nikapige...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Mimi King Ngwaba Nimehitimu masomo ya Kidato cha 4 (From IV) mwaka 2019 hapa JANGALO SECONDARY SCHOOL na kuambulia bonge la Mzunguko yani Sifuri. Matokeo yangu ni ↓↓ CIV - 'F' HIST - 'F' GEO -...
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Wadau ushauri wenu muhimu sana Jana NACTE wametoa matokeo ya walio pangiwa vyuo lakini nimekosa kupangiwa [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] Sasa naomba ushauri ndugu zangu nataka nikasome...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Jaman wana JamiiForums naombeni msaada wa kupata qualification za chuo cha diplomasia kilichopo Kurasini, Dar es Salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Nipo likizo tunafungua chuo mwezi wa tatu. Nilianza chuo kwa shamra sana na nguvu za kusoma lakini baadaye hali ilibadilika ghafla ya kukata tamaa na kuendelea kusoma lakini licha ya kuwa ivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamvi, naomba kama kichwa kinavyojieleza hapo juu! Yeyote anayejua chuo hapa Tanzania wanachofundisha course ya Big Data analysis au Advanced Excel naomba unijuze tafadhali
1 Reactions
11 Replies
4K Views
1. Omari Mtiga 2. Robert (jina la ubini nimelisahau - mweupe mrefu) 3. Ulimboka Stephen (kawa kiongozi wa mgomo wa madokta!)
5 Reactions
300 Replies
71K Views
Habarini ndugu zangu, Nahitaji kufungua tuition centre yangu kubwa katika mkoa wangu, ili nisaidie jamii yangu. Hebu nisaidieni mawazo, changamoto zake ni zipi? Na mahitaji ni Yepi?
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Sababu ya kubwa ya kubadili ni kwa sababu nimejiajiri mwenyewe katika biashara mbalimbali. Hivyo naona kuendesha bila ya kuwa na elimu ya biashara nahisi kama kuna vitu nakosea sababu nina update...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
"And he [Hiram] made a molten sea, ten cubits from the one rim to the other it was round all about, and...a line of thirty cubits did compass it round about....And it was an hand breadth...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
How To Be More Assertive Andrew, Ida Jaribu article series no.4 3 min read I learned to be assertive from my mother. She always expresses her feelings, is comfortable with saying no, acts in...
1 Reactions
0 Replies
604 Views
Back
Top Bottom