Msaada Sekondari za Katavi

cZg

Member
Mar 29, 2012
39
4
Ndugu Wana JF
Habari zenu, tafadhali naomba nisaidiwe orodha ya Sekondari mkoa wa Katavi ikiwezekana na viwango vya ufaulu matokeo kidato cha IV 2019.
 
za mpanda mjini nazozifahamu ni hizi
1.mwangaza sec.
2.shanwe sec.
3.rungwa sec.
4.nsemulwa sec.
5.milala sec.
6.st mary's
7.istiqama
kuhusu ufaulu wao hebu jaribu kuzifuata google hizo shule
8.kasimba
9.kasokola
10.misunkumilo
11.sun
12.kakese
13.mpanda girls
14.kabungu
14.seminari (iko mpanda ndogo) nje kdg ya mji pia 15. magamba
 
nahisi unataka ku 'cook data' nenda field kusanya data,, andaa research report
(samahani kama dhumuni si hili)
 
Back
Top Bottom