Nisaidieni kwenye hili

Rajab_Omar

JF-Expert Member
May 15, 2016
16,457
27,104
Mimi King Ngwaba Nimehitimu masomo ya Kidato cha 4 (From IV) mwaka 2019 hapa JANGALO SECONDARY SCHOOL na kuambulia bonge la Mzunguko yani Sifuri.

Matokeo yangu ni ↓↓
CIV - 'F'
HIST - 'F'
GEO - 'F'
KISW - 'F'
ENGL - 'F'
BIO - 'F'

B/MATH - 'F'

Haki ya Nani huu ni uonevu yani wameshindwa kunipatia hata Kadii kamoja wakati nilikuwa nakesha kwa ajili ya kusoma.
Wamenibashite bila ya huruma.

Ndoto zangu nilikuwa nataka nikasome Uenjenia.

Lakini kwa matokeo haya nisaidieni naweza kusoma Fani gani itakayonitoa kimaisha?
 
uenjinia ndio kozi gani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom