Ni wapi wanatoa Course ya Big Data analysis

Charliemic

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
585
919
Wanajamvi, naomba kama kichwa kinavyojieleza hapo juu! Yeyote anayejua chuo hapa Tanzania wanachofundisha course ya Big Data analysis au Advanced Excel naomba unijuze tafadhali
 
Hongera sana ndugu, "Charliemic" kwa kutaka kuongeza ujuzi kwenye data...hasa hasa kwenye big data analytics. Sisi kama COMSKILLS Co. Ltd tunatoa mafunzo hayo. Naomba tuwasiliane kwa maelezo zaidi.
Tupigie: 0717 718519 | 0762 192 532 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tutembelee: Ofisi zipo Makumbusho Bus Stand, 2nd Floor.
Tupo wazi kuanzia saa 12:00 asubuh mpaka saa 4 usiku, kila siku.
Karibu sana.
 
Big Data Analysis darasa lipo makumbusho stendi wonders shall never cease.
 
Nilishawahi kufanya kozi hapo kwetu full ubabaishaji, janja-janja tu
Ndugu "Joshua_" Tunashukuru sana, ni kozi gani ulifanya hapa kwetu na hukurithika na huduma zetu?
Tungefurahi sana kusikia kutoka kwako, ili tuweze jirekebisha pale ambapo tumetereza. Uwe mwazi na ueleze kile ulicho kitegemea na ulicho kipata.
Ikithibitika, ndugu sisi tupo tiari kurudisha gharama zote za mafunzo.

Gharama za mafunzo Ni pamoja na muda hivyo vyote mnaweza?
 
ComSkills your website plz

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana ndugu "iamokay" website yetu ipo na inafanya kazi. Masharti ya jukwaa hili ni kutoweka link ya aina yoyote!

Hivyo sisi kama wadau wa JF lazima tuzingatie taratibu za jukwaa!
Waweza kutuandikia au kutupigia pia! Tumia kikonya cha email yetu baada ya @ na waweza kuingia kwenye website yetu!

Karibu sana, kwa chochote!

Back
Top Bottom