Nipo likizo tunafungua chuo mwezi wa tatu. Nilianza chuo kwa shamra sana na nguvu za kusoma lakini baadaye hali ilibadilika ghafla ya kukata tamaa na kuendelea kusoma lakini licha ya kuwa ivyo mitihani nikifanya nafaulu sana na nilikuwa nikisoma sana kutokana na hali ilokuwa inanijia mana niliona nikizembea nitafeli mitihani semista ya kwanza masomo yapo matano nikapata A mbili B tatu semista ya pili hivyo hivyo nikapata A mbili B tatu.
Sasa wazo tu linanisumbua la kuacha chuo ila mwenyewe staki kuacha chuo kwani ada ipo. Nataka niji-force tena kwenda shule labda hii hali itafika itapotea; inaniumiza sana nakosa sana raha kwani siwezi biashara yoyote nategemea elimu ije inisaidie baadaye.
Sent using Jamii Forums mobile app