ommy clear
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 214
- 58
Sorry waungwana Niko nasoma chuo taasisi ya uhasibu DSM campus , lakini pamoja na hivo nimebahatika kupata kazi sehem so kulingana na hali halisi ya kimaisha nataka nisiache chuo nataka nisome evening class sorry kwa wale wazoefu naomba kujua ni vipi naweza ku-manage hivi vitu viwili kwa wakati mmoja ? Nina nia na dhati ya kufanya ivoo "ahsanten"
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app