Wakuu naomba ushauri nipo njia panda

Wakuu naomba ushauri nipo njia panda

Joined
Jun 17, 2020
Posts
75
Reaction score
268
Habari wakuu?

Naombeni ushauri wenu, mm nimesoma FTC or ordinary diploma in Mechanical Engineering under government spornsership ! Sikupitia advance

Lakini nilipokuja mtaani nakuona hali ilivyo kwa upande wa degree in Engineering, sitaki tena Mwenda kusoma degree yoyote ya Engineering! Nimependa nikasome bachelor degree ya Mathematics and computer! Kwakuwa sikupita advance inaweza kuwa kikwazo huko mbele?

Kwa upande wa ajira?
 
Nenda garage kajitolee 1 year then utatengeneza pesa maisha yako yote hiyo degree ya hesabu unataka kuwa teacher?
 
Siku hizi ukisoma Degree ya physics, degree ya chemistry, degree ya biology sijui ya mathematics... Ukimaliza unakuja kufundisha kwenye twisheni hizi... Otherwise ukasome tena mwaka mmoja uwe mwalimu... Nenda kasome hiyo computer
 
Habari wakuu?

Naombeni ushauri wenu, mm nimesoma FTC or ordinary diploma in Mechanical Engineering under government spornsership ! Sikupitia advance

Lakini nilipokuja mtaani nakuona hali ilivyo kwa upande wa degree in Engineering, sitaki tena Mwenda kusoma degree yoyote ya Engineering! Nimependa nikasome bachelor degree ya Mathematics and computer! Kwakuwa sikupita advance inaweza kuwa kikwazo huko mbele?

Kwa upande wa ajira?
Sasa mzee, hiyo degree ya Math and Computer umeipendea nini?

Lkn pia kutokusoma Advance sio shida, shida ni kama hiyo degree uipendao unaruhusu sifa ulizonazo za Form Four na Diploma (hapa inabidi usome TCU GUIDEBOOK, ipo TCU website)
 
Back
Top Bottom