Msaada: Kuapply mkopo HELSB

Msangarufu

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
1,412
2,000
Habari,

Naomba msaada kidogo wanajukwaa.

Nilikuwa na tatizo kwenye cheti cha kuzaliwa na nimefanikiwa kupata deed poll tayari.

Je, natakiwa niipeleke RITA kuhakikiwa au naituma heslb moja kwa moja mda wa kuapply mkopo?

Msaada wakuu
 
Apr 29, 2020
41
95
Cheti unakituma rita kikahakikiwe kwanza kwa njia ya mtandaoni kwenye website ya rita ( www.rita.go.tz ) inachukua muda wa siku tano hadi kumi au zaidi, baada ya hapo kikirudishwa utakiprint na kukiambatanisha kwenye maombi ya mkopo heslb kwa njia ya mtandaoni
 

billgate98

Member
May 10, 2018
56
125
Wale wote wanaotaka kuomba mkopo (HESLB) Na wanaotaka kuomba vyuo mbali mbali.
- Nipo kuwasaidia wale wote wenye uhitaji wa ku apply mkopo na chuo. Au kuwaongoza hatua baada ya hatua jinsi ya ku apply.
- Vyote hivyo kuanzia mwanzo mpaka kukamilika nakufanyia kwa bei poa ya elfu tano tu (5,000/= tu)
- Huku nikikupatia na username pamoja na password zako kujihakikishia nilichofany na kuangalia account yko pale itakapohitajika.
- Huduma hii ni kwa wote/popote ulipo ndani ya Tanzania hii. Kila kitu kitaenda sawa. Maan nimepata maswali mengi kwa walio mikoani.
- Nitafute whatsapp au sms za kawaida kupitia namba hizi 0734131743.
- Vitu vyote vinavyohitajika wakati wa uombaji mkopo na chuo nitakueleza ukinitafuta kupitia namba izo apo.
NYOTE MNAKARIBISHWA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom