Watoto wanaosoma shule za English medium hamna kitu kichwani

Kwa hiyo umeamua kutujazia server? Tuambie wewe uliesoma katika mfumo wako huo umefanya kitu gani kwenye jamii yako ambacho kinakupa legitimacy ya kuwazodoa wa mchepuo uliotaja!
Hata hao wanaosoma international huwa wanajiona smart sana na wanawabeza wenzao wanaosoma kata kwa kujidai na vi English vyao wakati kichwani hamna kitu
 
Hapana mkuu we niambie
Huwa sikatai neno
International School ni shule zinazofuata mtaala wa Cambridge (wakimataifa) mfano ni IST Ada yake 70M kwa mwaka.

Mtoto anayesoma hapo sizani kama unamuona kizembezembe ndio nikakuuliza unajua nini maana ya INTERNATIONAL SCHOOL au ulitaka kumaanisha Private School.

Kama ulikosea omba radhi tu tutakubali.
 
Unataka kulinganisha wa kukariri na wa kuelewa,
Uliza malecture wako wa vyuo vyenu watakwambia,
Unasoma thermodynamics mwaka wa pili,unakuja kuielewa mwaka wa nne,
Nadhani utakuwa umenielewa....
 
Watoto ama wanafunzi wanaosoma International school kichwani hamna kitu wanachojua ni kuongea kiingereza tu...

Ila other subjects nothing kabsa yaani hata wa shule za kata bora wana uelewa mkubwa!
Ndugu najua hii mada yako umekurupuka nayo bila kuifanyia research hata kidogo.
Siku nyingine usifanye hivyo.
Nakushauri uende ukafanye research angalau kwa shule mbili tu nina hakika utakuja kukanusha mwenyewe ulichokiandika hapa.
 
International School ni shule zinazofuata mtaala wa Cambridge (wakimataifa) mfano ni IST Ada yake 70M kwa mwaka.

Mtoto anayesoma hapo sizani kama unamuona kizembezembe ndio nikakuuliza unajua nini maana ya INTERNATIONAL SCHOOL au ulitaka kumaanisha Private School.

Kama ulikosea omba radhi tu tutakubali.
No nimemanisha international schools hizo hizo nikizingatia kuwa wote ni wanafunzi wa kitanzania haijalishi mode of learning au the type of sllyabus used!
 
Back
Top Bottom