Kuna tofauti gani kati ya Bachelor degree of science with education and Bachelor degree of education with science?

franknombo

Senior Member
Mar 30, 2019
170
160
Wakuu habr naomba kujulishwa tofaut ilypo kati ya bachelor of science with education na bachelor of education with science
 
Tofauti ya kwanza ni katika content. BSc. Ed anapata content ndogo ya kozi za education ila BEd Sc. anakuwa na content kubwa ya kozi za education. Tuseme BEd Sc. Ame major education
Tofati ya pili ni malengo ya program. BSc.Ed inalenga kuwaandaa walimu ila BEd Sc. inalenga kuwaandaa wakufunzi kwenye tertiary college
 
Nilisoma vibaya
 
Back
Top Bottom