Mimi ni mwananfunzi wa mwaka wa 2, nasoma Kozi ya Bachelor's in B'ness Administration(BBA). Ningependa kushare nanyi katika hili.
Naomba kufahamu briefly au shortly, naweza kusoma Master's ya...
Kwa mujibu wa TCU, miongoni mwa vigezo vya kusoma ngazi ya degree ni watu wa foundation programme kutoka OUT maajabu yaliopo baaadhi ya vyuo kama DIT, ARU hawachukui kabisa watu wa foundation sasa...
Wakuu habari, kama nilivozungumzia kwenye kichwa cha habari.
Nina shida na mawasiliano ya TAMISEMI kwa anayeelewa niingieje kwenye website yao au email yao, vilevile sina email yao wala website...
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imefungua dirisha la maombi ya udahili wa Shahada ya Kwanza, mwaka wa masomo 2020/21.
Mtendaji wa TCU, Prof. Charles Kihampa amesema dirisha la kwanza la...
Hellow habari za mida hii wanajamvi natumai mungu anajalia uzima kwanza kwa majina naitwa Derrick Deo nimekuja mbele yenu na baadhi ya maswali ambayo nahitaji usadizi wenu kwa njia yeyote samahani...
Habari za wakati huu wana jamvi!,
Eeh kuna mdogo wangu yupo Chuo mwaka wa Kwanza diploma-Clinical Officer (VYUO VILIVYOPO CHINI YA NACTE)! Sasa nataka kumuhamishia chuo kingine ila tatizo sina...
Wasalaam ndugu wanajukwaa
Mimi ni mhitimu wa chuo ngazi ya shahada, kozi ya ya Teknolojia ya Habari na Mifumo( Information Technology and System) inayotolewa Mzumbe Chuo kikuu, nina Gpa ya daraja...
Salaaam
Naomba kuuliza hivi ukisoma kozi ya rural au community development unaweza kuajiriwa kama nan labda
BT kama nikikosa ajira najua cha kufanya so naomba tu huo msaada.
Ova
MAENEO NANE MUHIMU YA MTAALA NGAZI YA DARASA.
Ulishawahi kuwaza kufanya kazi ya kutunga sera na kufanya maamuzi?. Ipi unadhani ingefaa kuwa sera bora ya elimu katika nchi yako? na vitu gani...
Wakuu salaam zenu,
Ndugu nakijana wangu anasomaa Degree ya Human Resource, sasa wako kwenye kuandika research kaniomba nimsaidie kumtaftia mada ya kureseach. Naomba tu-brainstom kidogo ilinipate...
habari za uzima wana jamvi.
September 3 2020 waziri wa Tamisemi Seleman Jafo alitangaza nafasi za walimu msingi na sekondari.
Alidai dirisha litafunguliwa tar7 yani leo.
Sasa shida iko hivi,huu...
Ndugu wana jf naombeni msaada kwa mwenye kujua specifications za transceiver zinazotumiwa na mitandao ya simu kwenye minara,ya voda , airtel and ttcl please help
Habari za jioni wana jf,
Naomba kufahamu ofisi za Nacte kwa mkoa wa Dodoma zipo wapi? Mimi ni mgeni mkoa huu nahitaji kufika ktk ofisi zao siku ya kesho Jumanne.
Kule kwenye application kuna masomo mawili haya English na English language, ukichagua English zinakuja Primary Schools na English language zinakuja Secondary School, swali kwa wazoefu, tunaomba...
Hello wanajamvi,
Nafamahu kuwa Tanzania is gifted na wabobezi katika masuala ya MIS. Natafuta school system yenye sifa zifuatazo:
Iwe na uwezo wa kumanage student records na kupring ID cards
Iwe...
Kumekuwa na mlolongo juu ya minimum point zinazokuwezesha kuchukua degree. Mwaka Jana kuna rafiki yangu wa o level alipata E E C, mda wa kuomba vyuo nikamwuliza umechagua vyuo gani akaniambia hana...