Habari wakuu,
Mimi ni graduate wa nimesoma uhasibu(degree ua kwanza), wakati tunasoma kuna watu walikuja chuoni kutafuta wanaotaka kujifinza accounting packages,ila hawakufanikiwa kuendesha...
Naomba, kama kuna mtu amechaguliwa Mbeya Collage of health and allied sciences kwa diploma courses na akafanikiwa kupata joining instructions au mawasiliano na uongozi wa chuo hicho, anisaidie.
CALL FOR SCHOLARSHIP APPLICATIONS
FROM NATIONALS OF EAST AFRICAN COMMUNITY PARTNER STATES TO PURSUE KFW- FUNDED MASTER’S STUDIES (COHORT 2) IN AN EAC PARTNER STATE OTHER THAN THEIR OWN
Opening...
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka 2020 mchepuo wa PCB Dv. I-8. Nina ndoto za kuja kuwa Daktari. Katika kozi hizo mbili MD na DDS napata wakati mgumu wa kufanya Decision mimi niko flexible...
Nimemaliza kidato Cha 6 nimepata div. 4 point 18 yaani E, S kwakuwa ndoto zangu zilikuwa kuendelea na elimu ya chuo kikuu na kurudia mtihani wa kidato Cha 6 sitaki, je nikisoma foundation...
●Kondakta kumsimamisha mwanafunzi kutoka kwenye siti ili aketi mtu mzima ni heshima.
●Je, maskini kusimamishwa aketi tajiri tutaitaje??
■Ngoja niwape mkasa wa hivi karibuni jinsi maskini anavyo...
Hi! Kwa wana JF wote,
Samahani ninaomba msaada kuna dogo wangu hapa amesoma HGK ana two ya 11 yaani History-D, Geography-D na Kiswahili-C nilikuwa naomba mnishauri ajaze course gani...
Habari za uzima wapendwa,
Naomba kuuliza kwa Mwenye uelewa kuhusu chuo kikuu cha Teofilo Kisanji Mbeya anijulishe ubora wake kama kipo vizuri kwenye kozi ya IT yani information technology...