Naomba kujua soko limeakaaje kati ya MSc Human Nutrition vs Epidemiology

bbyfay

Member
Jun 3, 2013
26
3
Habarini wapendwa,

Nakata kusoma Masters ya Human Nutrition au Epidemiology, napenda kujua kuhusu soko lake na demand yake imekaaje
 
Kama unakazi tayari kapige human nutrition, kama huna nenda muhimbili kapige epidemiology /bio statistics. Based na source mbali mbali za ajira
 
ushauri mzuri kwa hiyo unamaanisha Human nutrition ajira ni finyu? Maana na mimi naplan kusoma Bsc nutrition and dietics ya pale open ila natarget kujiajiri zaidi vipi hiyo?
 
Mahitaji ya dunia ya sasa, yanalazimisha sana umuhimu wa specialists wa human nutrition,
 
Back
Top Bottom