Naomba Joining instructions ya Mbeya Collage of health and allied sciences kwa diploma courses

Mazapa

New Member
Sep 27, 2020
3
3
Naomba, kama kuna mtu amechaguliwa Mbeya Collage of health and allied sciences kwa diploma courses na akafanikiwa kupata joining instructions au mawasiliano na uongozi wa chuo hicho, anisaidie.
 
Naomba, kama kuna mtu amechaguliwa Mbeya Collage of health and allied sciences kwa diploma courses na akafanikiwa kupata joining instructions au mawasiliano na uongozi wa chuo hicho, anisaidie.
Oooh....kama umechaguliwa hapo angalia kwenye profile yako ya selection kuna joining instruction washatuma mda mrefu..kwa vyuo vya government mm nshapata nmechaguliwa musoma cotc
 
Back
Top Bottom