Msaada wa haraka unahitajika

Stavros Myles

JF-Expert Member
Jun 7, 2020
350
390
Hi! Kwa wana JF wote,

Samahani ninaomba msaada kuna dogo wangu hapa amesoma HGK ana two ya 11 yaani History-D, Geography-D na Kiswahili-C nilikuwa naomba mnishauri ajaze course gani.

Natanguliza shukurani zangu🙏🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom