davisoni
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 422
- 446
Habari wakuu,
Mimi ni graduate wa nimesoma uhasibu(degree ua kwanza), wakati tunasoma kuna watu walikuja chuoni kutafuta wanaotaka kujifinza accounting packages,ila hawakufanikiwa kuendesha mafunzo hayo.kwa sasa kuna kazi nafanya inahusisha uhasibu na utunzaji wa stoo ya vitu.kutokana na changamoto mbali mbali za kikazi nalazimika kujifunza tally sytem(mabosi wameipenda hii).
.naomba kujua yafuatayo;
Je naweza kujifunza kwa siku ngapi?
Vipi gharama zake?
Asante