Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wanajamii, hii imekaaje? Leo nimepigiwa simu na jamaa yangu yupo Chato, amekuta wanafunzi wa shule ya sekondari Mujumuzi (ya binafsi) wameandamana barabarani wakidai baadhi walimu wao kurudishwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jf,husika na kichwa cha Uzi nimesoma PCB na matokeo ni kama ifuatavyo. Phy-C Chem-C Bios-C Bam-D Sasa baada ya kuomba round ya kwanza sijabahatika kupata chuo,Naombeni ushauri ni...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Kwa Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
2 Replies
906 Views
Wakuu kwa heshima na taadhima HESHIMA yenu, Mdogo wenu hapa naomba msaada. Nimemaliza form six mwaka huu kwenye dirisha la udahili awamu ya Kwanza nimekosa vyuo vyote nilivyoomba ambavyo ni; 1...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kijana wenu nina Diploma ya Water Laboratory and Technology niliyosomea Water Institute. Nataka kuomba chuo sasa hivi Bachelor in Automobile Engineering pale NIT, inawezekana?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani waungwana ambae anajua details kidogo kuhusu hiyo kozi chuo cha ardhi. Yaani kazi zake na ugumu au urahisi wake? Msaada jamani.
0 Reactions
0 Replies
550 Views
HABARI Kwahapa Dar nichuo gani kipo juu kwakozi ya BUSINESS ADMINISTRATION Kuna muhitimu anataka kujiunga nakozi ya Business ADMINISTRATION kwangazi ya BACHELOR Mwenye uelewa mpana kuhusu hii...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wana jamvi nilikuwa naomba kupewa elimu kidogo kipengele cha direct payments to the students chuo cha NIT nimeshindwa kuku kielewa kabisa , lakini kipengele cha tuition fees mekielewa.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
-BACHELOR IN HUMAN RESOURCES -BACHELOR IN PUBLIC ADMINISTRATION -BACHELOR IN BUSSINESS ADMINISTRATION -BACHELOR IN LAW ENFORCEMENT -BACHELOR IN PROCUREMENT AND SUPPLY CHAIN -BACHELOR OF BUSINESS...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Naomba kwa yoyote anaeweza kunifafanulia vyema kuhusiana na hii course ya logistics and transport management anielezeee tafadhali sanaaa.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau, kuna kitu najiuliza kuhusu MPH ya MUHAS. Kwa miaka mitano mfululizo now naona watu wengi sana wanaiappky kulingana na Masters degrees nyingine. Hii imepelekea mimi kujiuliza swali je ni kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mdogo Wangu wa kike kamaliza form six mwaka huu na kupata division two ya point 10 kwa combination ya PCB. Kwa Hali iliyopo sasa hivi pamoja na competition kubwa kwa kozi za afya hasa...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Sorry wakubwa wang wa jf nimebahatika kuchaguliwa kozi za science in quantity survey and construction economics pal ardh pia science ya mathematics and statistics pale udom..kozi zote nazipenda...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Wadau nawaomba mnsaidie msaada wa mawazo, Kwamba niapply kozi gan ambazo zitakuwa hazna ushindan kwa round ya pili? Mim nimepanga niapply kwenda kusoma shahada ya ualimu kwa masomo ya Physics na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunamwomba Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli. Aangalie diploma maalum ya sekondari iliyodahiliwa mwaka 2018 kwa vyuo kama Songea, Tukuyu,kleru,mpwapwa na korogwe.maana wanapata wakati mgumu...
0 Reactions
3 Replies
931 Views
Mbinu ipi ya kutumia kufanya application ili npate chuo? Je, kuapply vyuo vingi ni njia moja wapo itakayokufanya upate chuo?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mpaka leo hii nchi yetu haina sera mahususi inayo elezea matumizi ya lugha ya kufundishia kwa wanafungu katika ngazi mbalimbali za kielimu hapa nchini. Hii hupelekea watoto wengi sana hasa...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Nakumbuka 2013 nilipomaliza elimu ya sekondari (O'level) Ni baada ya kufukuzwa shule tatu tofauti,Kibasila,Kisarawe lutheran, jitegemee, kishakumalizia shule huko mkuranga shule x. Sikuwa vibaya...
1 Reactions
2 Replies
908 Views
Poleni na majukumu ya hapa na pale JAMANI mdogo wangu amechaguliwa kozi hyo ya Human Nutrition ila yeye roho haitaki kabisa na kachaguliwa SUA kozi hyo na ni chuo hicho hicho tu hajachaguliwa kozi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom