Maombi ya kufahamishwa kipengele cha direct payments to the students Chuo cha NIT

Feb 17, 2019
13
6
Habari wana jamvi nilikuwa naomba kupewa elimu kidogo kipengele cha direct payments to the students chuo cha NIT nimeshindwa kuku kielewa kabisa , lakini kipengele cha tuition fees mekielewa.
Screenshot_20201010-121008.jpeg
 
Hayo ni matumizi yako ya mwaka mzima na Hanna atakayekufuatilia huko utapambana mwenyeww chuo watadai hiyo ya direct payment to institution
 
Back
Top Bottom