Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ni combination gani rahisi ambayo mtu anaweza akaisoma kwa wale wanao re-seat mtihani wa form six. Ambayo mtu anaweza akajisomea mwenyewe na kwenda kufanya mtihani. Hasa kwa mtu ambaye tayari...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Salam wakuu Naomba mtaalam anayeweza kunielezea hii inafanyikaje ,nitashukuru. Naihitaji kufanyia Economic analysis kwa uwekezaji katika kampuni flani. Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
410 Views
Heshima kwenu wanajamvi. Naomba nwenye kujua shule nzuri ya msingi ya kutwa / day kumwanzisha mtoto darasa la kwanza. Shule iwe Dar Es Salaam maeneo ya Mbezi beach au Goba au maeneo ya jirani...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Anasema yeye ni mwalimu wa Darja la tatu A yaani mwalimu wa Msingi ngazi ya cheti. Anataka kwenda kujiendeleza lakini hajui ni course gani za education ngazi ya Diploma ambazo zina soko kwa sasa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Uongozi wa Shule ya Sekondari ya Majengo, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro inayomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi umeridhia kuacha kazi kwa mwalimu wa kiume wa shule hiyo anayedaiwa...
2 Reactions
64 Replies
16K Views
Make the subject P=150_0.5Q make Q the subject. P=30+0.25Q
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba kuwasilisha uzi huu kwa mfumo wa maswali kwa wadau juu ya sakata hili; 1) Je, sehemu pakufanyia kazi ni tofauti? 2) Kwanini hospital nyingi zinakataa kuwapokea watu biotechnology and...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Wadau, kwa mfanyakazi anayetaka kujiendeleza na elimu ya juu kupitia mkopo kutoka PSPF. Anatakiwa afate taratibu zipi?
1 Reactions
19 Replies
18K Views
LLB degree ya sheria (law) Kwa wanafunzi wa form six wanaangalia vigezo gani kuchagua!? Kwa msichana na mvulana!? Kwa upande wa udom.
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Habarini wadau wote wa elimu. Nina mdogo wangu kapangiwa hiyo course hapo UDOM Napenda kujua changamoto za course ndani ya chuo na nje ya chuo, hususani katika soko la ajira kwa sababu course za...
1 Reactions
46 Replies
12K Views
Awali ya yote napenda kuweka sawa au kumrekebisha Deadbody maana niliona kwenye Uzi fulani akimtaja huyo T.O ni Immaculate Mosha kitu ambacho si cha kweli. Mnamo mwaka 2010 mwanadada yatima...
35 Reactions
188 Replies
48K Views
I have come to realize this as I grow up, many educated people are just so poor, can't be able to meet their own needs and can't even make some decent achievements despite being considered very...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba kujua wapi kuna driving school Morogoro. Ukiachana na VETA. Nimeenda VETA wamenambia mpaka mwakani.
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Natafuta kitabu cha Robert Kiyosaki kinaitwa Fake Book name: FAKE author; Robert Kiyosaki nmejatibu angalia www.pdfdrive.net sijakipata na website nyingine nnazozijua Ambae anacho anaweza...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu wanaJF, Tumezoea baada ya mitihani ya darasa la saba inachukua mwezi mmoja matokeo kutoka. Lakini mwaka huu matokeo yamezidi kiasi hicho cha muda na hakuna tetesi. Kwa kuwa JF ni sehemu...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Nina tamaa ya kujifunza lugha ya kiarabu. naombeni msaada wa wanajukwaa je kozi ya lugha ya kiarabu inatolewa sehemu gani kwa hapa Dar?
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Wadau nauliza utaratibu wa HESLB 2020/2021 juu ya wanafunzi wa POSTGRADUATE kunako upewaji wa Mkopo, JE nawao wanaunganishwa kwenye hizi BATCH 2 zilizotangazwa?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu hamjambo!!? Naomba kusaidiwa, hivi tatizo Ni Nini maana nimechaguliwa chuo Cha maji lakin mimeenda wananiambia sina sifa za kujiunga na hicho chuo kwa sababu nimesoma PCB mpk ningekuwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari ya muda huu wanajukwaa! Naomba kufahamishwa / kuelekezwa namna ya kupata INVOICE kwa ajili ya kulipia ya Accommodation (makazi) na Tuition Fee (Ada) kwa chuo cha Sokoine University of...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…