The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,986
- 586
Wakuu hamjambo!!?
Naomba kusaidiwa, hivi tatizo Ni Nini maana nimechaguliwa chuo Cha maji lakin mimeenda wananiambia sina sifa za kujiunga na hicho chuo kwa sababu nimesoma PCB mpk ningekuwa nimesoma PCM, sasa kwanini walinichagua wakijua sina vigezo[emoji16][emoji16][emoji16]. TANZANIA YA SASA MAMA[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]