Ni combination gani rahisi ambayo mtu anaweza akaisoma kwa wale wanao re-seat mtihani wa Form Six?

Jul 24, 2017
31
17
Ni combination gani rahisi ambayo mtu anaweza akaisoma kwa wale wanao re-seat mtihani wa form six. Ambayo mtu anaweza akajisomea mwenyewe na kwenda kufanya mtihani. Hasa kwa mtu ambaye tayari ameajiriwa?
 
HKL nunua vitini vya kutosha jifungie ndani.

Kwa History vijana wa sasa wanamtumia Mtu anaitwa Salehe Yasini.

Kiswahil na Language huko hutapata shida sana, ni mteremko
 
Hujajibu ndugu
Sio hajajibu, ila ww ndo haueleweki.

Umesema ku-reset halafu tena unataka kujua masomo gn n rahisi wakat masomo uliyofel ndio unatakiwa kuyarudia hayo hayo, kama n kisw huwez kwenda phy pia kama n phy huwez kwenda kisw
 
Oooh hapo ni typing error. Jamaa ali reseat form four. Sasa anataka akapige ile ya mwaka mmoja five na six. So anataka kujua ni combination gani nzuri na rahisi kwa advance. Maana anasoma akiwa home na kibaya zaidi ni mwajiriwa
 
Combination rahisi ni kuacha kusoma tu mkuu. Tofauti na hapo utokwe na jasho la meno kwa masomo yoyote utakayosoma.

Back
Top Bottom