Anataka kwenda kujiendeleza lakini hajui ni course gani za Education ngazi ya Diploma ambazo zina soko kwa sasa

Jul 24, 2017
31
17
Anasema yeye ni mwalimu wa Darja la tatu A yaani mwalimu wa Msingi ngazi ya cheti. Anataka kwenda kujiendeleza lakini hajui ni course gani za education ngazi ya Diploma ambazo zina soko kwa sasa. Hivyo anaomba msaada wa kujulishwa ili aweze kuzifahamu. Naomba kuwasilisha.
 
abaki kwenye category yake kisha aombe akasome diploma yeyote achague somo lake moja aliloliwekea kipaumbele na la pili achague physical fittness subject aje kuwa mwalimu wa michezo shuleni
 
Back
Top Bottom