Hebu jamani hivi kuna tofauti kubwa sana kati ya wazee wetu walioishia darasa la nane na hawa graduates wa leo wa chuo kikuu?
Graduates hawajui Kiingereza wala Kiswahili fasaha.
Uandishi wao na...
Katika kusoma soma huku na kule nimekuatana na kitu ambacho kimenichanganya; labda nilete kwenu wana ndugu. Ipo hivi:
Katika kufuatilia historia ya Dinosaurs inasamekana kwamba waliishi miaka...
Habarini Wakuu, poleni na majukumu
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza mimi ni mwanafunzi nasoma degree ya Procurement and Supply Management. Nilikuwa naomba mnishauri kampuni au taasisi nzuri za...
Kwa wale ndugu waliohitimu na kufaulu kidato cha nne mwaka 2018.
Serikali imetoa fursa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne mwaka 2018 na wanaotegemea kujiunga na kidato cha tano pamoja na...
Hbari za jioni,
Naomba aliye na andiko mradi wowote unaohusu shule naomba anisaidie nina shida nalo sana !! Nataka kutumia kama fremu work niandae kazi mradi ya shule, natanguliza shukrani zangu...
Habari wana Jamii forum! Kuna dogo Amemaliza Form Four na matokeo yake sio ya kuridhisha kwakweli amepata Division 4 ya Point 29 ambayo ni
KISW - C
ENG - D
GEO - D
HIST - D
CIV - D
ENG LIT - F...
Habari Jf,
Nina kijana wangu kahitimu elimu ya secondary mwaka 2020 kwa ufaulu ufuatao;
Physics-D
B/Mathematics-D
Civics-C
Chemistry-C
Geography-C
History-C
Biology-B
Kiswahili-B
English-B
Div-...
Wadau salama?
Walimu wale tulioajiliwa kipindi cha kampeni za uchaguzi kuna ambaye kaingiziwa pesa za january? Maana Desemba ilikuwa hakuna kitu na january kwangu hakuna kitu afu sina hapa pesa...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein amesema kuna haja ya sera ya elimu visiwani humo kuwa ya kisasa zaidi ili kuendana na mabadiliko mbalimbali yaliyotokea katika sekta hiyo.
Dk Mwinyi amebainisha...
Draft a simple contract for sale of 50 computers worth of 50 million tzs,between PLANET CONNECTION CO LTD as Seller and CITY STAYLEY GROUP as a buyer payment will be by cash,the contract is on...
Ninataaluma ya Ualimu,mpango wangu ni kufungua tuition centre,kipindi nasubiri Ajira Serikalini (Allah akijalia).
Ni vigezo vipi vinahitajika,hatua zipi nifuate?
Kuna kodi?
Wenye uelewa au...
Kusoma hakuishi kabisa yaani.
Wataalam wa Accounts nisaidieni
haka kaswali, wakuu.
"Mechanism used in dealing with professional misconduct of accountants"
Leo Tanzania tufanyaje juu ya wasomi wetu wanao hitimu kila mwaka vyuo mbalimbali???
Kila mwaka huku mtaani kwetu tumekuwa tukipokea wasomi mbalimbali tulio somesha kwa gharama nyingi sisi wazazi...