Taylor king
Senior Member
- Aug 16, 2017
- 102
- 128
Habari wana Jamii forum! Kuna dogo Amemaliza Form Four na matokeo yake sio ya kuridhisha kwakweli amepata Division 4 ya Point 29 ambayo ni
KISW - C
ENG - D
GEO - D
HIST - D
CIV - D
ENG LIT - F
BIO - F
MATH - F
Mimi nilitaka kumshauri akasome Wildlife Management chuo cha wanayama pori (MWEKA) lakini Principal pass zake hazitoshi maana wao wanahitaji Principal passes 4 katika masomo ya bio,math,Geo & Eng. Naombeni Ushauri na Mawazo yenu kwenye swala hili.
Je kwa Matokeo hayo huyu dogo anaweza kusomea kitu gani?? Au kama kuna chuo chochote atakachoweza kusoma kutokana na matokeo hayo???
Nitafurahi sana Solution ikipatikana maana amekata tamaa sana mpaka namuonea huruma.