Mishahara ya walimu

Targaryen

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
675
640
Wadau salama?

Walimu wale tulioajiliwa kipindi cha kampeni za uchaguzi kuna ambaye kaingiziwa pesa za january? Maana Desemba ilikuwa hakuna kitu na january kwangu hakuna kitu afu sina hapa pesa mfukoni hadi natamani nirudi home kwanza nipunguze ukali wa maisha.
 
Onana na mkuu
 
Posho ya kujikimu ni haki yenu muidai. Anzisheni group wassap mjitambue mliopangiwa hiyo halmashauri kisha muhamasishane muwe wamoja ila msifanye vurugu yoyote kisha mfateni afisa elimu kisha mkurugenzi wenu mwelezeni maisha magumu tupeni ruhusa twende nyumbani.
 
Wadau salama?

Walimu wale tulioajiliwa kipindi cha kampeni za uchaguzi kuna ambaye kaingiziwa pesa za january? Maana Desemba ilikuwa hakuna kitu na january kwangu hakuna kitu afu sina hapa pesa mfukoni hadi natamani nirudi home kwanza nipunguze ukali wa maisha.
Nenda faster kwa afisa utumishi ili akuingize kwenye payroll.Usipofanya hivyo baada ya tarehe kumi mwezi ujao,na mwezi ujao hupati kitu.
 
Cheki namba ninayo toka mwezi wa 12 mana nilimaliza process zote kabla ya tarehe 5 mwezi wa 12
 
Kumbe nje ya changamoto ya upumuaji kuna changamoto nyingine ya kutolipwa mshahara ilihali umeshagongeka kazini? Poleni sana
 
Back
Top Bottom