Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu nimerudi na uzushi tena🤣🤣🤣 Saivi ni Kwa wale wasomi wenye 25+yrs 🤣 SWALI NI; Je unajutia kusoma profession uliyosomea? Kama ungepewa nafasi ya kuchagua tena ungesoma kozi ipi 🧐?? 🙏🙏...
3 Reactions
9 Replies
647 Views
  • Poll Poll
Mimi nimwajiriwa Nina stashahada ya Ualimu (physics & mathematics) nataka kwenda kusoma mwaka huu course ya TEHAMA, Wakuu naomba kujua utofauti wa course ya bachelor in computer science Na...
2 Reactions
5 Replies
860 Views
Wakuu salaam! Naomba kwa anaejua atanabaishe hints za interview za chemistry/biology/physics teaching methods kwa tutorial assistant interview kwa chuo kama DUCE. Uwa wanauliza nini zaidi? Je...
1 Reactions
3 Replies
453 Views
Jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vya kati hapa Tanzania (TAHLSO) ilianzishwa ili iweze kutetea maslahi ya wanafunzi wa vyuo. Bahati mbaya kwa sasa TAHLSO siyo chombo tena cha kushughulika na...
0 Reactions
1 Replies
299 Views
Habari zenu wapendwa, Naomba kujua center gani ni nzuri kwa ajili ya CPA review classes kwa Dodoma?
0 Reactions
4 Replies
721 Views
Habari wakuu nilikua naomba kujua ajira ya kozi zinazotolewa na chuo cha bandari kwenye soko ni marketable kwa sasa? Na ajira zake ni rahisi kupatikana au nako kumejaa tuu kama fani zingine
0 Reactions
2 Replies
330 Views
Naomba kujua vyuo vikuu vinavyotoa elimu online hapa Tanzania tofauti na Open University
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau poleni na safari ya URUSI baada ya kurudi salama naomba mnishauri katika hili.Binti yangu amemaliza kidato cha sita mwaka jana matokeo yake kapata div 2,pts 12.Alikuwa anasoma combination ya...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZA ΚΑΤΙΚΑ TAASISI ZA ELIMU YA JUU NCHINI TANZANIA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda...
2 Reactions
19 Replies
10K Views
Habari wanaJF, Natanguliza shukrani. Kuna mdogo wangu kwenye haya matokeo ya mwaka huu mwezi wa pili ya kidato cha nne alipata ufaulu wa DIV 2 YA 18(CIVICS: C, HISTORY: B, GEOGRAPHY: C...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu wajuzi wa mambo msaada naombeni mnipe mawazo kidogo hivi kati ya degree ya nursing anaesthetic,general nursing, clinical nutrition na physiotherapy ipi iko marketable wakuu?
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanafunzi JIHESHIMUNI sana serikali haipotezi kumbukumbu kamwe daima dumu mkifanya Boko kwenye shule yenu au mwaka wenu basi kizazi chenu kinawekwa kwenye kumbukumbu za kutoajirika au kuajirika...
4 Reactions
16 Replies
842 Views
Anonymous
Nimekuwa nikituma email na ujumbe whatsap kwakuwa nilikuwa na shida kwenye makato yangu ya deni la bodi ya mikopo ila sio whatsap wala email inayojibiwa huenda pana changamoto ya wafanyakazi au...
1 Reactions
3 Replies
269 Views
Anonymous
Tunataka kufahamu kwa nini UTUMISHI mwaka huu walificha tangazo la ufadhili wa masomo ngazi ya PhD (MOFCOM scholarship) kwa watumishi wote? Ikiwa kama ni sehemu ya kusaidia maendeleo ya ukuaji wa...
3 Reactions
2 Replies
503 Views
Naomba ushauri mm ni mwalimu Wa shule ya msingi Nina diploma ya laboratory science and technology natarajia kujiunga open kusoma bachelor of science general open university alafu baadae nisome...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Karibu kwenye uzi huu maalum wa kufundisha lugha ya Kichina (Mandarin). Kupitia uzi huu, CHUO CHA MAWAZO YA BIASHARA tutakuwa tukifundisha lugha ya Kichina hatua kwa hatua kuanzia mwanzo hadi...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Wataalamu wenzangu wa Flutter, hii hapa tena Mapishi App — jukwaa la kipekee kwa wapenda kupika App hii inaruhusu wanawake (na wote wanaopenda kupika) kupost vyakula, kushare mbinu, na...
0 Reactions
3 Replies
438 Views
Ruhunga Secondary iliyoko katika Mkoa wa Kagera, Bukoba Vijijini, Tarafa Rubale, Kata ya Ruhunga, wana utaratibu kwa Wanafunzi wa madarasa yenye mitihani (Form 2 & 4) kuweka kambi Shuleni kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Anonymous
Nikiwa kama jirani nayeishi karibu na Shule ya Sekondari Nyamanoro iliyo katika Halmashauri ya Manispaa ya ilemela mkoa wa Mwanza nimekuwa nikipatwa na wasiwasi juu ya hatari inayowakabili...
0 Reactions
4 Replies
588 Views
Back
Top Bottom