Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habarini za muda Wana jamvii Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu. Nilikua nahitaji msaada wa mtu anawezaje Kuhama chuo kikuu Fulani kwenda Fulani baada ya semester moja au baada ya...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba ushauri au elimu au Ufahamu kuhusu ubora wa simu za Samsung toleo la M series.. Na Ubora wa Simu za oppo na series ipi ni bora Na ushauri kama nataka kuchukua simu kati ya hayo makampuni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nataka iwe ya kisasa na Lengo ni kuiongeza chumba cha kulala na dinning room na kupanua jikon, pamoja nipate na store, . Ilivyo kwasasa ndio hivyo Ktk picha na ramani ya sasa ndio hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau nimebahatika kuitwa Interview ya hawa jamaa, naomba mwenye uzoefu tafadhali nataka nikaongeze jiwe la Pili kwa Trump. Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habar ya kazi wakuu, nahitaji kusoma masters. Naomba mwenye uelewa wa hizi kozi ipi ni nzuri zaidi na ni Vyuo gani hutoa hizi kozi. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habarini za jion wadau wa JF, Naomba msaada wa kuunganishwa kwenye magroup ya watsap ya mafundi wa vifaa tiba kwa njia yoyote ile,ata kwa kutumia link. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye uelewa na hii kozi ya maendeleo ya jamii(community development) inayotolewa SUA anasaidia ni wapi utafanya kazi na je ni kozi yenye soko kwa sasa?
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Mwaka jana tulitangaziwa kwamba Tanzania imeingia uchumi wa Kati. Je kuingia kwa uchumi wa Kati, kumeifanya Tanzania kutoka ulimwengu wa tatu?
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Sioni tatizo wanafunzi wa UDSM wakitembea na ID zao jiji zima What is the point of university of Dar es Salaam if they don't? Na mtuache kutupiga piga na mawe kwani hakuna Miti mingine yenye...
5 Reactions
146 Replies
18K Views
Kama kilivo kichwa cha habari hapo juu naomba kuuliza hivi kozi ya Tourism kupata mkopo ni uhakika Degree? na je kama jina la kitambulisho cha Mzazi yani Baba jina lake spelling ni tofauti halafu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kilivo kichwa cha habari hapo juu naomba kuuliza hivi kozi ya Tourism kupata mkopo ni uhakika Degree? na je kama jina la kitambulisho cha Mzazi yani Baba jina lake spelling ni tofauti halafu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hellow wadau wa Jukwaa la Elimu. Naomba kujua timetable ya watu wanaosoma Evening Masters Programme CoICT au College yoyote ya science hapo UDSM. Masomo huanza saa ngapi na kuisha saa ngapi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Bed special needs 2. Bed psychology 3. Bed in policy planning & management,
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ndugu zangu Kuna kozi fulani hivi inaitwa fitter mechanical nasikia inatolewa na veta ila sijui veta ya mkoa gani na ipi naombeni msaada kwa hilo.
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Kuomba ufadhili diploma inawezekan a?
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nimesoma ukurasa wa Malisa huko Instagram akijaribu kumtetea mwalimu mmoja mwenye elimu ya juu kabisa kiwango cha Masters, lakini mwalimu huyo bado analipwa mshahara wa elimu ya Certifacte hadi...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wakuu wa JF. Leo nimemkubuka Mwalimu wangu na kwa wengine ambae ni bora kabisa katika kizazi hiki na kijacho. Huyu si mwingine ni Ngaola au ukipenda muite Moddy Physics/ Commissioner...
7 Reactions
61 Replies
15K Views
Jaman naomben msaada kwa anae jua maeneo ya field apa Dar. Mimi nasoma mechanical Engineering Diploma DIT ndo niko mwaka wa kwanza nlikua naomben msaada wa kuelekezwa maeneo ya kwenda ku apply Field.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mama Samia aangalie suala la kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma maana elimu ya diploma ni taaluma ile tena taaluma nyingine za diploma zina tija kuliko hata za degree. Aangalie mfano chuo cha...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…